World Vision kuna tatizo gani, mbona wanatangaza kazi zilezile kila wakati?

World Vision kuna tatizo gani, mbona wanatangaza kazi zilezile kila wakati?

kyanyangwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
1,275
Reaction score
3,316
Hawa watu kila week lazima nikutane na matangazo yao ya kazi.

Huwa wana matatizo gani mpaka kutangaza kazi kila week na tena unakuta ni zile zile tu?
 
Yuko mtu zamani alitwa oresta sotta ndio alikuwa specialist wao cjui Yuko mpk sas
 
Dah.sasa wao hawaajiri waislamu kwa mantiki hiyo?
Serikali hailioni hiki swala kuwa ni ubaguzi ikapiga marufuku?
Sasa mkuu hivi Paulo anaweza kuajiriwa Africa Muslim Relief? Ile ni taasisi ya kidini ndiyo maana wanaajiri watu wao wa dini
 
Hiz organization zmekaa kipigaji Sana n yule mdogo wake pale mikocheni... Sijui Nn kifanyike! Kamlete, namleta ndo destur yao
 
Sio kweli.

Hawa jamaa wapo vizuri na ni partiners wa serikali vizuri sana na ndio maana serikali inawasikiliza.

Unafahamu maombezi ya Taifa ya corona wao ndio walioinitiate?

Unafahamu hao jamaa ni wadau wakubwa sana wa elimu nchini, wanajenga madarasa na kutoa dawati lukuki kila mwaka?

Unafahamu wana miradi ya maji vijijini?
Sifahamu na wala sihitaji kufahamu....siku zote aisifuye mvua ujue imemnyea😁😁😁
 
Sasa kama hufahamu umeleta thread ya nini humu mkuu?
Tafuta kazi uache lawama mjini hapa au ukiona hali sio anzisha organization yako kisha ajiri ndugu zako wote.
Sifahamu na wala sihitaji kufahamu....siku zote aisifuye mvua ujue imemnyea[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Sasa kama hufahamu umeleta thread ya nini humu mkuu?
Tafuta kazi uache lawama mjini hapa au ukiona hali sio anzisha organization yako kisha ajiri ndugu zako wote.
Ninayo organization yangu mkuu...wewe ndie utafute kazi nguvu ya kuwatetea makanjanja unaitoa wapi? Hama huko nikupe ajira..
 
Najua Tanzania kuna tatizo la ajira ila punguza kulialia.
Tafuta sehemu ujitolee na baada ya muda utapata uzoefu, ukishakua mzoefu utapata ajira.

Mungu ni mwema kwa watu wote.
Ninayo organization yangu mkuu...wewe ndie utafute kazi nguvu ya kuwatetea makanjanja unaitoa wapi? Hama huko nikupe ajira..
 
Hawa watu kila week lazima nikutane na matangazo yao ya kazi.

Huwa wana matatizo gani mpaka kutangaza kazi kila week na tena unakuta ni zile zile tu?
Sorry mkuu..
Ebu tuma tangazo lao la wiki hii na wiki iliyopita!

Au unazungumzia tangazo kama hili!??
IMG-20211228-WA0016.jpg
 
Hawa watu kila week lazima nikutane na matangazo yao ya kazi.

Huwa wana matatizo gani mpaka kutangaza kazi kila week na tena unakuta ni zile zile tu?
Unahaakika kuwa yako genuine? Mara nyingi wamekanusha kuwa hawajatangaza kazi
 
Najua Tanzania kuna tatizo la ajira ila punguza kulialia.
Tafuta sehemu ujitolee na baada ya muda utapata uzoefu, ukishakua mzoefu utapata ajira.

Mungu ni mwema kwa watu o

Najua Tanzania kuna tatizo la ajira ila punguza kulialia.
Tafuta sehemu ujitolee na baada ya muda utapata uzoefu, ukishakua mzoefu utapata ajira.

Mungu ni mwema kwa watu wote.
Hakuna sehemu yoyote katika andiko hili niliyoandika kuwa mimi ninahitaji ajira...nilichokieleza kuhusu world vision ni kile ninachokifahamu....nimewafahamu world vision toka mwaka1999 nilipokuwa huko kagera wilaya ya karagwe.. (1) Taasisi ya world vision imejaa udini (2) viongozi wanaoiongoza hii taasisi ni makanjanja (3) Ajira zinazotangazwa world vision huwa ni kwa ajili ya kuitangaza taasisi ionekane ipo active lakini ukweli ni kuwa nafasi ya ajira hiyo inakuwa na muhusika tayari..(4 ) miradi yote inayoendeshwa na world vision huwa haina time frame badala yake huendeshwa kwa kuangalia nguvu ya mfadhiri ili watu waendelee kupiga mpunga..
 
Udini umewajaa sana wale ndugu zetu......ukiomba kazi uambatanishe na cheti cha ubatizo
Hili la cheti cha ubatizo sio kweli hata kidogo na aliyekuambia kakudanganya

Japo hawaweki wazi hili kwenye matangazo yao ya kazi, huwa wana utaratibu wa kuanza wiki/kumaliza week kwa kusali kikristu atleast once or twice a week. As such, kwao ni convenient kuwa na staff wa imani hiyo

Lakini pia kuna wafanyakazi wa imani nyingine huwa wanaajiriwa WV ingawa kimsing idadi yao ni ndogo sana.
 
Point iko palepale mkuu kuwa cheti cha ubatizo ni mojawapo ya document muhimu itakayofanya uweze kupata ajira pale taasisi ya kidini ya world vision..
 
Back
Top Bottom