Kaudunde Kautwange
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 1,644
- 1,648
Kuna watu Tanzania ni wagumu kuelewa.. na wewe ni mmoja wao..Point iko palepale mkuu kuwa cheti cha ubatizo ni mojawapo ya document muhimu itakayofanya uweze kupata ajira pale taasisi ya kidini ya world vision..
Kinachohitajika ni barua ya kukutambulisha kuwa wewe ni mkristo toka kwa mchungaji wako.. hakuna nyaraka nyingi ya kidini zaidi ya hii..
Pia kama wewe ni mwanandoa, utalazimika kutoa au kupeleka nakala ya cheti cha ndoa.
Ukitaka kujua mengine zaidi, njoo PM