kyanyangwe
JF-Expert Member
- Oct 31, 2018
- 1,275
- 3,316
Dah.sasa wao hawaajiri waislamu kwa mantiki hiyo?Udini umewajaa sana wale ndugu zetu......ukiomba kazi uambatanishe na cheti cha ubatizo
Ndivyo huwa walivyo ....wanasema serikali wameishika mkononi...Dah.sasa wao hawaajiri waislamu kwa mantiki hiyo?
Serikali hailioni hiki swala kuwa ni ubaguzi ikapiga marufuku?
Sioni ubaguzi.ni maamuzi yao.wana haki kuchagua kufanya kazi na mtu wanayemtaka anayejua miiko yaoDah.sasa wao hawaajiri waislamu kwa mantiki hiyo?
Serikali hailioni hiki swala kuwa ni ubaguzi ikapiga marufuku?
Kuna matapeli pia wanatumia huo mwanyaHawa watu kila week lazima nikutane na matangazo yao ya kazi.
Huwa wana matatizo gani mpaka kutangaza kazi kila week na tena unakuta ni zile zile tu?
Sasa mkuu hivi Paulo anaweza kuajiriwa Africa Muslim Relief? Ile ni taasisi ya kidini ndiyo maana wanaajiri watu wao wa diniDah.sasa wao hawaajiri waislamu kwa mantiki hiyo?
Serikali hailioni hiki swala kuwa ni ubaguzi ikapiga marufuku?
HaaaUdini
Sifahamu na wala sihitaji kufahamu....siku zote aisifuye mvua ujue imemnyea😁😁😁Sio kweli.
Hawa jamaa wapo vizuri na ni partiners wa serikali vizuri sana na ndio maana serikali inawasikiliza.
Unafahamu maombezi ya Taifa ya corona wao ndio walioinitiate?
Unafahamu hao jamaa ni wadau wakubwa sana wa elimu nchini, wanajenga madarasa na kutoa dawati lukuki kila mwaka?
Unafahamu wana miradi ya maji vijijini?
Sifahamu na wala sihitaji kufahamu....siku zote aisifuye mvua ujue imemnyea[emoji16][emoji16][emoji16]
Ninayo organization yangu mkuu...wewe ndie utafute kazi nguvu ya kuwatetea makanjanja unaitoa wapi? Hama huko nikupe ajira..Sasa kama hufahamu umeleta thread ya nini humu mkuu?
Tafuta kazi uache lawama mjini hapa au ukiona hali sio anzisha organization yako kisha ajiri ndugu zako wote.
Ninayo organization yangu mkuu...wewe ndie utafute kazi nguvu ya kuwatetea makanjanja unaitoa wapi? Hama huko nikupe ajira..
Sorry mkuu..Hawa watu kila week lazima nikutane na matangazo yao ya kazi.
Huwa wana matatizo gani mpaka kutangaza kazi kila week na tena unakuta ni zile zile tu?
Unahaakika kuwa yako genuine? Mara nyingi wamekanusha kuwa hawajatangaza kaziHawa watu kila week lazima nikutane na matangazo yao ya kazi.
Huwa wana matatizo gani mpaka kutangaza kazi kila week na tena unakuta ni zile zile tu?
Najua Tanzania kuna tatizo la ajira ila punguza kulialia.
Tafuta sehemu ujitolee na baada ya muda utapata uzoefu, ukishakua mzoefu utapata ajira.
Mungu ni mwema kwa watu o
Hakuna sehemu yoyote katika andiko hili niliyoandika kuwa mimi ninahitaji ajira...nilichokieleza kuhusu world vision ni kile ninachokifahamu....nimewafahamu world vision toka mwaka1999 nilipokuwa huko kagera wilaya ya karagwe.. (1) Taasisi ya world vision imejaa udini (2) viongozi wanaoiongoza hii taasisi ni makanjanja (3) Ajira zinazotangazwa world vision huwa ni kwa ajili ya kuitangaza taasisi ionekane ipo active lakini ukweli ni kuwa nafasi ya ajira hiyo inakuwa na muhusika tayari..(4 ) miradi yote inayoendeshwa na world vision huwa haina time frame badala yake huendeshwa kwa kuangalia nguvu ya mfadhiri ili watu waendelee kupiga mpunga..Najua Tanzania kuna tatizo la ajira ila punguza kulialia.
Tafuta sehemu ujitolee na baada ya muda utapata uzoefu, ukishakua mzoefu utapata ajira.
Mungu ni mwema kwa watu wote.
Hili la cheti cha ubatizo sio kweli hata kidogo na aliyekuambia kakudanganyaUdini umewajaa sana wale ndugu zetu......ukiomba kazi uambatanishe na cheti cha ubatizo
Point iko palepale mkuu kuwa cheti cha ubatizo ni mojawapo ya document muhimu itakayofanya uweze kupata ajira pale taasisi ya kidini ya world vision..Hili la cheti cha ubatizo sio kweli hata kidogo na aliyekuambia kakudanganya
Japo hawaweki wazi hili kwenye matangazo yao ya kazi, huwa wana utaratibu wa kuanza wiki/kumaliza week kwa kusali kikristu atleast once or twice a week. As such, kwao ni convenient kuwa na staff wa imani hiyo
Lakini pia kuna wafanyakazi wa imani nyingine huwa wanaajiriwa WV ingawa kimsing idadi yao ni ndogo sana.