Kaudunde Kautwange
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 1,644
- 1,648
Kuna watu Tanzania ni wagumu kuelewa.. na wewe ni mmoja wao..Point iko palepale mkuu kuwa cheti cha ubatizo ni mojawapo ya document muhimu itakayofanya uweze kupata ajira pale taasisi ya kidini ya world vision..
"Kinachohitajika ni barua ya kukutambulisha kuwa wewe ni mkristo toka kwa mchungaji wako.........hakuna nyaraka nyingi ya kidini zaidi ya hii".😂😎Kuna watu Tanzania ni wagumu kuelewa.. na wewe ni mmoja wao..
Kinachohitajika ni barua ya kukutambulisha kuwa wewe ni mkristo toka kwa mchungaji wako.. hakuna nyaraka nyingi ya kidini zaidi ya hii..
Pia kama wewe ni mwanandoa, utalazimika kutoa au kupeleka nakala ya cheti cha ndoa.
Ukitaka kujua mengine zaidi, njoo PM
Hivi mkuu, mshahara mdogo ni sh ngapi!?Mbona watu mnapakimbilia wakati mishahara yao midogo sana
Laki tatuHivi mkuu, mshahara mdogo ni sh ngapi!?
Mbona mimi nalipwa chini ya hiyo na naishi vizuri tu!?Laki tatu
Laki 3Hivi mkuu, mshahara mdogo ni sh ngapi!?
Kumbe umeshamjibu, tena huo mshahara wa accountantLaki tatu
Una familia? Na umelizika?Mbona mimi nalipwa chini ya hiyo na naishi vizuri tu!?
Nani kakuambia kuwa mshahara mdogo hauleti maendeleo??...mimi nilijenga kwa mshahara wa laki mbili.Mbona mimi nalipwa chini ya hiyo na naishi vizuri tu!?
Hongera sana, maisha ni kujipangaNani kakuambia kuwa mshahara mdogo hauleti maendeleo??...mimi nilijenga kwa mshahara wa laki mbili.
Ila inatakiwa kujinyima sana ndio utaweza kufikia malengo...kinawaumiza wengi ni ile kutumia pesa kwa kujilinganisha na mwingine..unasahau kuwa vipato viko tofauti...Hongera sana, maisha ni kujipanga
Yes, hii ndio hoja yangu.. mshahara mdogo ni individual perception... na sio general perception.. mshahara mdogo kwako, mi kwangu ni mkubwa..Nani kakuambia kuwa mshahara mdogo hauleti maendeleo??...mimi nilijenga kwa mshahara wa laki mbili.
Vyote Jibu lake ni ndio!Una familia? Na umelizika?
Ulijenga nini asee. Maana kuna nyumba na kuna makazi. Makazi kila mtu anayo ila nyumba mtihani.Nani kakuambia kuwa mshahara mdogo hauleti maendeleo??...mimi nilijenga kwa mshahara wa laki mbili.
Nyumba na makazi..Ulijenga nini asee. Maana kuna nyumba na kuna makazi. Makazi kila mtu anayo ila nyumba mtihani.