Lugha sahihi ni 'worry not'. 'worry out' ni tatizo la predictive text ya simu nyingi. Unaweza ukaandika 'Worry Not' lakini ukituma simu infanya auto-select ya 'out' badala ya 'not'.
Lkn huwa inatumika kwenye mazungumzo zaidi kuliko kwenye maandishi mkuu
Wadau wa lugha naomba mnisaidie juu ya neno hili 'worry out' maana naona limeshika kasi sana kwenye mazungumzo na maandishi yasiyo rasmi(informal writings). Nashindwa kuelewa kama ni sahihi ama si sahihi maana sijawahi kuona limeandikwa kwenye vitabu. Naomba kuwasilisha