Worry not or worry out?

Worry not or worry out?

Khantwe

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
59,415
Reaction score
119,473
Wadau wa lugha naomba mnisaidie juu ya neno hili 'worry out' maana naona limeshika kasi sana kwenye mazungumzo na maandishi yasiyo rasmi(informal writings). Nashindwa kuelewa kama ni sahihi ama si sahihi maana sijawahi kuona limeandikwa kwenye vitabu. Naomba kuwasilisha
 
acha kucomplicate maisha,vyote sawa. Hujawahi kuona vingapi umeona?
 
Lugha sahihi ni 'worry not'. 'worry out' ni tatizo la predictive text ya simu nyingi. Unaweza ukaandika 'Worry Not' lakini ukituma simu infanya auto-select ya 'out' badala ya 'not'.
 
Lkn huwa inatumika kwenye mazungumzo zaidi kuliko kwenye maandishi mkuu
 
Wadau wa lugha naomba mnisaidie juu ya neno hili 'worry out' maana naona limeshika kasi sana kwenye mazungumzo na maandishi yasiyo rasmi(informal writings). Nashindwa kuelewa kama ni sahihi ama si sahihi maana sijawahi kuona limeandikwa kwenye vitabu. Naomba kuwasilisha

It's supposed to be 'Worry not' though I still think mbona isiwe 'Don't worry'?
Worry out- sijui ni English ya wapi na kwa kweli nina watu wengi my friends ambao kwenye conversations na text messages zao hutumia 'worry out'.
 
Back
Top Bottom