Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Wadau wa lugha naomba mnisaidie juu ya neno hili 'worry out' maana naona limeshika kasi sana kwenye mazungumzo na maandishi yasiyo rasmi(informal writings). Nashindwa kuelewa kama ni sahihi ama si sahihi maana sijawahi kuona limeandikwa kwenye vitabu. Naomba kuwasilisha