Wosia wa Babu kwa wapwa wa MMU

Maty Signecha yako inanipa msukumo wa kuja kukuona zaidi........lol need some counselling galfriend?
 
Maty Signecha yako inanipa msukumo wa kuja kukuona zaidi........lol need some counselling galfriend?
Mjukuu hebu nisomee nipo via mobile! Lazima sauti ya jangwa anahusika na hii siginecha!
 
Soma vizuri mamushka... kuna mahusiano ya kudumu a.k.a post paid na ya muda a.k.a prepaid... hao wana maomni yao tofauti kabisa. We ni pre au post?

Hahaaaa na hang sieleweki bado. Naona kama kote sipo.
 
Mjukuu hebu nisomee nipo via mobile! Lazima sauti ya jangwa anahusika na hii siginecha!

Yaani we kimey umenichekesha hapa mpaka watu wananishangaa lol, sio vizuri bana mwenzio ndio kwanza nimeripoti kwa mkoloni le. hapa wanajiuliza hivi huyu mwenzetu likizo yake imemuwehusha mpaka acheka peke ake mwe! JF
 
Don't make all people think the same way. One man's meat, is one man's poison. Let everybody enjoy in his/her way.

Soma Matayo 7:5 "Mnafiki wewe. Ondoa kwanza boriti lililo jichoni mwako na hapo ndipo utaona sawa sawa kibanzi kilicho jichoni mwa ndugu yako"
 
Maty Signecha yako inanipa msukumo wa kuja kukuona zaidi........lol need some counselling galfriend?

Yaani ukija hutajuta mpenzi lol nakusubiri kwa hamu achana na huyo babu yako tiineja (kimey) hakuna sauti ya jangwa wala nini mwe! nimecheka huyu kimey hata jana alilala iringa leo ndio kaamkia mufindi huyu sio bure
 
kashaija butege
 
Easy...easy people....easy
 
Iwe,

Mbona umekua mkali sana kwani wewe ni mpwa???

Mbona wapwa wamemuelewa mleta mada??

Why all this? au una agenda nyingine??
 
Hii Lizzy MASA....ina maanisha Masa ndo keshanipiga bao kwenye wa ubani thru keyboard? Huyu Rev Masa mzee wa kujiexpress?

Hahahaha Kilichokuponza ni mambo yako ya Pwani na Msuli wako.
 
Yaani ukija hutajuta mpenzi lol nakusubiri kwa hamu achana na huyo babu yako tiineja (kimey) hakuna sauti ya jangwa wala nini mwe! nimecheka huyu kimey hata jana alilala iringa leo ndio kaamkia mufindi huyu sio bure
Ngoja niombe ruhsa kwa MKOLONI MKUU!! nlitaka nije ijumaa hadi jumapili but nina wasiwasi kama ataniruhusu siku zote hizi....labda nije Jumamosi nigeuze jumapili.
 
Umeonaeeee??
Hili ni jukwaa la upendo, halina haja na vita wala kunyoosheana vidole, kama mtu anakugusa pamoto, PM tu huwa inakua tiba

Dawa ilikua kumpotezea tu... kuliko kumuita mtu mnafiki, wakti hajaongea na wewe...
 
Ngoja niombe ruhsa kwa MKOLONI MKUU!! nlitaka nije ijumaa hadi jumapili but nina wasiwasi kama ataniruhusu siku zote hizi....labda nije Jumamosi nigeuze jumapili.

Mjaribu bana akikataa poa tu jmosi unakuja mapema na j2 unaondoka jioni huo muda unatosha sana mpenzi karibu sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…