MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
Maty Signecha yako inanipa msukumo wa kuja kukuona zaidi........lol need some counselling galfriend?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona pale chini ya mkahawa ulikuwa wanywa mbege huku unanuizia mwe!
Mjukuu hebu nisomee nipo via mobile! Lazima sauti ya jangwa anahusika na hii siginecha!Maty Signecha yako inanipa msukumo wa kuja kukuona zaidi........lol need some counselling galfriend?
Babu umeonaeee?..........Wacha kabisaMjukuu hebu nisomee nipo via mobile! Lazima sauti ya jangwa anahusika na hii siginecha!
Soma vizuri mamushka... kuna mahusiano ya kudumu a.k.a post paid na ya muda a.k.a prepaid... hao wana maomni yao tofauti kabisa. We ni pre au post?
Mjukuu hebu nisomee nipo via mobile! Lazima sauti ya jangwa anahusika na hii siginecha!
Salamu kwenu waungwana na heri ya mwaka mpya.
Jukwaa letu hili mara nyingi limekuwa likilalamikiwa kuwa linajadili mada ambazo hazikupaswa kujadiliwa na great thinkers (tafsiri ya nani ni great thinker bado haijakaa kichwani kwa babu).
Nawashauri ndugu zangu wa MMU kuwa tubadilike na tuache tabia ya kutoa na kujadili mada zisizo na tija kwa taifa letu kama zile za kufurahishwa na harufu za vikwapa, kummega mama mkwe, kupenda avatar za baadhi ya members, kutafuta infii nk nk nk.
Kwa kuanzia naanza mimi kwa kutoa hoja za ki-great thinkings
1. Hivi hatuoni kuwa ni verevere kusali kabla ya tendo la ndoa ili kujiepusha na mabaya kama kufa kwa presha wakati wa tendo, kutomridhisha mwenzako, kumuumiza mwenzako, kumwambukiza mwenzako maradhi au kumgea mimba zisizotarajiwa? (au kufumaniwa kwa wale mainfii)
2. Je haitupasi kumshukuru Mungu baada ya tendo kwa kuzuia hayo hapo juu kutokea?
3. Haifai kumwomba Mungu awaongezee uhai ili mkutane tena na muweze kufanya hayo mawili hapo juu?
Angalizo: Hii ni kwa wale wenye mahusiano ya kudumu.
Kwa wale wa mahusiano ya papo kwa papo hamuhusiki na hizo hoja hapo juu, ila je?
1. hamuoni baada ya kumaliza uchafu wenu mnapaswa kwa pamoja kutubu kwa Mungu kwa maudhi na dhambi mliyotoka kuitenda punde? (Baada ya kuoga, Mungu hapendi maarufu ya ngono). Mnasubiri mkatubu kanisani/msikitini, mkipata ajali kabla hamjafika huko na mkafariki dunia hamuoni mtaingia Jehanamu?
2. Baada ya namba moja hapo juu hamuoni kuwa yawapasa kumwomba Mungu ili ampitishe shetani mbali msirudie tena kuirudia hii dhambi mbaya?
Babu anawapendeni na anarudi zake kitandani.
:drum::drum::drum:
Maty Signecha yako inanipa msukumo wa kuja kukuona zaidi........lol need some counselling galfriend?
Don't make all people think the same way. One man's meat, is one man's poison. Let everybody enjoy in his/her way.
Soma Matayo 7:5 "Mnafiki wewe. Ondoa kwanza boriti lililo jichoni mwako na hapo ndipo utaona sawa sawa kibanzi kilicho jichoni mwa ndugu yako"
Easy...easy people....easyDon't make all people think the same way. One man's meat, is one man's poison. Let everybody enjoy in his/her way.
Soma Matayo 7:5 "Mnafiki wewe. Ondoa kwanza boriti lililo jichoni mwako na hapo ndipo utaona sawa sawa kibanzi kilicho jichoni mwa ndugu yako"
Nilikua nawe kwa blututhi bana....wengine hawakujua...lol
Iwe,Don't make all people think the same way. One man's meat, is one man's poison. Let everybody enjoy in his/her way.
Soma Matayo 7:5 "Mnafiki wewe. Ondoa kwanza boriti lililo jichoni mwako na hapo ndipo utaona sawa sawa kibanzi kilicho jichoni mwa ndugu yako"
Hii Lizzy MASA....ina maanisha Masa ndo keshanipiga bao kwenye wa ubani thru keyboard? Huyu Rev Masa mzee wa kujiexpress?
Umeonaeeee??Iwe,
Mbona umekua mkali sana kwani wewe ni mpwa???
Mbona wapwa wamemuelewa mleta mada??
Why all this? au una agenda nyingine??
Hahahaha!Mwambie kabisa...hapa nipo ticket mkononi nasubiria boti!
Ngoja niombe ruhsa kwa MKOLONI MKUU!! nlitaka nije ijumaa hadi jumapili but nina wasiwasi kama ataniruhusu siku zote hizi....labda nije Jumamosi nigeuze jumapili.Yaani ukija hutajuta mpenzi lol nakusubiri kwa hamu achana na huyo babu yako tiineja (kimey) hakuna sauti ya jangwa wala nini mwe! nimecheka huyu kimey hata jana alilala iringa leo ndio kaamkia mufindi huyu sio bure
Easy...easy people....easy
Hili ni jukwaa la upendo, halina haja na vita wala kunyoosheana vidole, kama mtu anakugusa pamoto, PM tu huwa inakua tibaUmeonaeeee??
Ngoja niombe ruhsa kwa MKOLONI MKUU!! nlitaka nije ijumaa hadi jumapili but nina wasiwasi kama ataniruhusu siku zote hizi....labda nije Jumamosi nigeuze jumapili.
Nimevuviwa.....nanena kwa lugha hapoManenei, Manenei..........aaah
😕😕😕