Wosia wa Babu kwa wapwa wa MMU

Hommie naona tunaelekea page ya nane post zote hazina connection na topic! Inanipa wasiwasi kama kuna agenda yako hapo.

Off topic....you have been warned!
 
Kama unavyosemaga wewe ooriaiti ooraiti tutazingatia haya,wakinadada wanatuweka majaribuni nguo zinazidi kupungua siku hadi siku.
 
Kama unavyosemaga wewe ooriaiti ooraiti tutazingatia haya,wakinadada wanatuweka majaribuni nguo zinazidi kupungua siku hadi siku.

Usijali kamanda, ndo nawafunda huku wasi do the needful sana babu nikaingia mbinguni peke yangu.
 
Kweli babu umezidi kukata ringi, sasa we umesema watu wamuombe mungu ili waweze kukutana tena, hapohapo unasema watubu kwa mungu wasirudie dhambi hiyo huoni hapo itamchanganya Sir God hatajua mtu anataka nini?
 
Na wewe wapenda weusi na mama bigi anapenda weupe lakini weusi kipenzi cha roho.

Bila shaka Nyagi ndani ya kabinti ni LAZIMA ilindwe.....long live nyagi.

Ten sauzend safiiiiiiii?

Mwone kwanza, meno yako yameboboka mpaka mswaki unaogopa kuingia mdomoni....

Si afadhali yangu mimi? Je we mwenye nywele ngumu mpaka wazitumia kusugulia sufuria mbona mi sisemi?

Halafu yeye yeye
Bora umeingilia kati....na huko nyuma nshawaonya atakayeenda ofu topiki anakula ban.

Ahsante kwa kuniwekea listi...Naanza na mchakachuaji mpenda weupe lakini weusi kipenzi cha moyo.

Kwa heshima yako jichagulie unataka ban ya muda gani
 
Kweli babu umezidi kukata ringi, sasa we umesema watu wamuombe mungu ili waweze kukutana tena, hapohapo unasema watubu kwa mungu wasirudie dhambi hiyo huoni hapo itamchanganya Sir God hatajua mtu anataka nini?

Soma vizuri mamushka... kuna mahusiano ya kudumu a.k.a post paid na ya muda a.k.a prepaid... hao wana maomni yao tofauti kabisa. We ni pre au post?
 
Hivi wewe mjukuu hili some umelielewa au mimi nimepata tetenasi ya ubongo..tena ile inaitwa flaccid!

Yaani babu bado naendelea kutafuta miwani maana hii new year hii imekuja kwa kishindo
 
Maty......nitaomba nije nikutembelee hivi karibuni. Utaniruhusu?
 
hay babu naona leo umeamkia upande mwingine wa kitanda...
nadhani utakuwa wakulia sababu ni mzuri ....
na dhani hukulala upande wa ukuta pia..
nimerudi.....lol
 
hay babu naona leo umeamkia upande mwingine wa kitanda...
nadhani utakuwa wakulia sababu ni mzuri ....
na dhani hukulala upande wa ukuta pia..
nimerudi.....lol

Babu ameamka kifudifudi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…