Wosia wa Babu kwa wapwa wa MMU

Wosia wa Babu kwa wapwa wa MMU

sema hapa hapa hadharani Babu, Mjukuu wako anakusikiliza

Orait nianze na ya kudumu a.k.a post paid au ya muda mfupi a.k.a pre-paid? Kama umevaa ile miwani nliyokununulia, sitategemea tena swali toka kwako..
 
Yaani rangi kama ya huyo kwa avatar yako...usisahau am in love with your darling avatar!
U cant be anything but yourself............u love zem avatars.............how can you be different this year.
 
Naona Max amenibania kale kadude ka THANKS...........SENK YUU.
Babu anapenda giza.......and I rebuke that.

Na wewe wapenda weusi na mama bigi anapenda weupe lakini weusi kipenzi cha roho.
 
avatar16662_24.gif

Sore off topiki nimesikia njaa ghafla Bigi do ze nidiful.
 
Orait nianze na ya kudumu a.k.a post paid au ya muda mfupi a.k.a pre-paid? Kama umevaa ile miwani nliyokununulia, sitategemea tena swali toka kwako..
Babu sometimes yale ya muda mfupi hugeuzwa ya kudumu sasa hapo yaweje?
 
Asante kwa kulinda maslahi ya akupendae........luv is power.......unayempenda utamlinda bana!

Bila shaka Nyagi ndani ya kabinti ni LAZIMA ilindwe.....long live nyagi.

Ten sauzend safiiiiiiii?
 
Babu sometimes yale ya muda mfupi hugeuzwa ya kudumu sasa hapo yaweje?

Ya muda mfupi yakigeuzwa ya kudumu?.......babu think...think.... think.... again....Orait... Hiyo inahitaji thread inayojitegemea.
 
Mwone kwanza miguu myembamba mpaka unashindwa kutembea kwenye matope......

Babu usintafute kwenye anga zangu:
Mwangalie kwanza we ni mzee mpaka wakati Mungu aliposema, "Let there be light" wewe ndo uliwasha taa!
 
avatar16662_24.gif

Sore off topiki nimesikia njaa ghafla Bigi do ze nidiful.
Orait.......nenda pale Florida umwambie Pimbi akupe ugali mkubwa sana na Utumbo wa kuchoma.........ninamlipa thru bluetooth sasa hivi.
 
Mwone kwanza, meno yako yameboboka mpaka mswaki unaogopa kuingia mdomoni....
 
Ya muda mfupi yakigeuzwa ya kudumu?.......babu think...think.... think.... again....Orait... Hiyo inahitaji thread inayojitegemea.
Ninahitaji jibu babu ama sivyo withdraw hiyo sentence na uweke neno husika!!
 
U cant be anything but yourself............u love zem avatars.............how can you be different this year.

Na wewe wapenda weusi na mama bigi anapenda weupe lakini weusi kipenzi cha roho.

avatar16662_24.gif

Sore off topiki nimesikia njaa ghafla Bigi do ze nidiful.

karibu kheri ya mwaka mpya?

Habari za mwaka jana?

Bila shaka Nyagi ndani ya kabinti ni LAZIMA ilindwe.....long live nyagi.

Ten sauzend safiiiiiiii?

Babu usintafute kwenye anga zangu:
Mwangalie kwanza we ni mzee mpaka wakati Mungu aliposema, "Let there be light" wewe ndo uliwasha taa!

Orait.......nenda pale Florida umwambie Pimbi akupe ugali mkubwa sana na Utumbo wa kuchoma.........ninamlipa thru bluetooth sasa hivi.

Mwone kwanza, meno yako yameboboka mpaka mswaki unaogopa kuingia mdomoni....

Hebu nipeni link ya hizi post na thread upesi.
 
Bora umeingilia kati....na huko nyuma nshawaonya atakayeenda ofu topiki anakula ban.

Ahsante kwa kuniwekea listi...Naanza na mchakachuaji mpenda weupe lakini weusi kipenzi cha moyo.
 
Back
Top Bottom