Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
U cant be anything but yourself............u love zem avatars.............how can you be different this year.Yaani rangi kama ya huyo kwa avatar yako...usisahau am in love with your darling avatar!
Sijaelewa kupenda weupe na alichosema Bigie kama vinalingana...
Au ni mimi ndio nina kichwa kigumu!!
Babu sometimes yale ya muda mfupi hugeuzwa ya kudumu sasa hapo yaweje?Orait nianze na ya kudumu a.k.a post paid au ya muda mfupi a.k.a pre-paid? Kama umevaa ile miwani nliyokununulia, sitategemea tena swali toka kwako..
Mwone kwanza miguu myembamba mpaka unashindwa kutembea kwenye matope......
Orait.......nenda pale Florida umwambie Pimbi akupe ugali mkubwa sana na Utumbo wa kuchoma.........ninamlipa thru bluetooth sasa hivi.![]()
Sore off topiki nimesikia njaa ghafla Bigi do ze nidiful.
Ninahitaji jibu babu ama sivyo withdraw hiyo sentence na uweke neno husika!!Ya muda mfupi yakigeuzwa ya kudumu?.......babu think...think.... think.... again....Orait... Hiyo inahitaji thread inayojitegemea.
msg delivered babu!
U cant be anything but yourself............u love zem avatars.............how can you be different this year.
Na wewe wapenda weusi na mama bigi anapenda weupe lakini weusi kipenzi cha roho.
![]()
Sore off topiki nimesikia njaa ghafla Bigi do ze nidiful.
karibu kheri ya mwaka mpya?
Habari za mwaka jana?
Bila shaka Nyagi ndani ya kabinti ni LAZIMA ilindwe.....long live nyagi.
Ten sauzend safiiiiiiii?
Babu usintafute kwenye anga zangu:
Mwangalie kwanza we ni mzee mpaka wakati Mungu aliposema, "Let there be light" wewe ndo uliwasha taa!
Orait.......nenda pale Florida umwambie Pimbi akupe ugali mkubwa sana na Utumbo wa kuchoma.........ninamlipa thru bluetooth sasa hivi.
Mwone kwanza, meno yako yameboboka mpaka mswaki unaogopa kuingia mdomoni....
Mwone kwanza, meno yako yameboboka mpaka mswaki unaogopa kuingia mdomoni....