Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We mchakachuaji unabana kila kona....dah!
Anyway napenda sana weupe......
asante na wewe pia! uliadimika!Kheri ya mwaka mpyaaaaaa
Shukrani mkuu.
Lakini wewe na babu mwenzio mnaendana mm nikajua tayari wewe umeelewa nini anacho taka kiwe huu mwaka mpya!
Si afadhali yangu mimi? Je we mwenye nywele ngumu mpaka wazitumia kusugulia sufuria mbona mi sisemi?
weusi dawa ya moyo kwi kwi kwi babu usianze kucheua vipepeo lol
Ana miaka mia na nusu lakini akili yake ni ya miaka kama 25 hiviThanx Asprin Kwani ww ni babu kiukweli?
Babu mwenzangu, ukitaka kujua, mwambie invizibo arudishe chat room.....Mkuu nimepata F....tena hii ndo ya kwanza toka nifikishe meno 32!
Nimesoma tena na tena mada na michango ya wadau lakini mbado kupata kitu hapa. Hivi mnapanga nini vile?
Nimeshindwa kukugongea senksi kwa kuwa umepost Via Mobile.Ana miaka mia na nusu lakini akili yake ni ya miaka kama 25 hivi
Anajua kila kitu kuanzia history mpaka physicalogy lol
anajua kukagua mpaka kuchagua. ..
Mmmmhhh ka unataka kujua zaidi ni pm
Mjukuu. AD
Hii Lizzy MASA....ina maanisha Masa ndo keshanipiga bao kwenye wa ubani thru keyboard? Huyu Rev Masa mzee wa kujiexpress?
Jamani Lizzy, si babu amekataza mambo hayo mwaka huu, ama nimemsoma vibaya!??
Hapa mkuu mambo tayari, kuanzia sasa inabidi uangalie mipaka yako kwa Lizzy hivi hapa anasubili mida tu atue Zenji hapo
Ulinipiga chini saa ngapi? sikumbuki kupewa talaka wala kuambiwa japo kwa maneno...lol
Nimeshindwa kukugongea senksi kwa kuwa umepost Via Mobile.
Unashabikia nini sasa na wewe B?:whoo::whoo::A S 39:
Hommie naona tunaelekea page ya nane post zote hazina connection na topic! Inanipa wasiwasi kama kuna agenda yako hapo.Nimeshindwa kukugongea senksi kwa kuwa umepost Via Mobile.
Usijali babu hesabu kondoo kabla hujamaliza ntakuwa hapo lolHaya masaa mbona hayaendi? Nakamisi haka kajukuu kwenye mtandao mkubwa bana.