Ili iweje?Cheti fake katika machungu yako na msongo wa mawazo....rudi darasani kama unaweza ili ukapate cha halali.
Sijawahi kuajiriwa wala sijawahi kusoma hata secondary
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ili iweje?Cheti fake katika machungu yako na msongo wa mawazo....rudi darasani kama unaweza ili ukapate cha halali.
Kabla ya hapo maisha yalikuwaje pamoja na kuwepo hiyo unayoiita maoni ya wengi?Unadhani hatakuwa tunaona umeme kukatika kipindi cha dhalimu? Rejea vizuri kipindi cha kampeni za uchaguzi kuanzia july 2020 kulianza kuwa na mgao mkali wa umeme, na akawa anajifichia kwenye ujenzi wa bwawa SG. Acha wahuni wafanye yao maana aliondoa nguvu ya wananchi kuhoji, akatengeneza kizazi za kusifia, matokeo yake ndio hawa chawa waliojaa ili watoke kimaisha.
Na tunaomkumbuka kwa mazuri yake,tutulie tukiwaangalia mnavyojibaraguza enyi watu fake,waajiriwa fake,waalimu fake na vizazi vyenu.
JK unamkumbuka kwa kukaa tu pale magogoni na kula bata duniani?Niache kumkumbuka JK nikumhuke liuaji
AKUMBUKWE JPM."Siku moja mtanikumbuka, najua mtanikumbuka kwa mazuri si kwa mabaya, kwa sababu nime 'SACRIFICE' MAISHA YANGU kwa ajili ya Watanzania maskini" ~ Hayati. John Magufuli (#RIP).
Ingawa najua kuna lile kundi lililojaa sumu,kwa machungu ya kukaa vijiweni.baada ya kukumbwa na "Panga" la JPM kwenye vyeti fake,ajira hewa,utumbuzi majipu,uchaguzi 2020.
Mtaendelea kutukana ....ila "UKWELI" Utaendelea kusimama mahala pake bila kutetereka.
Na Kwa mgao huu wa kulazimishwa....
Hayo maneno yanazidi kusikika masikioni mwa wengi.
Na yataendelea kusikika zaidi kadri siku zinavyozidi kusonga mbele taratibu.
Wao wanalamba "ASALI" wananchi tunalambishwa "SHUBILI"
Sasa Mabwawa ya hydroelectric yanafunguliwa kwa kuhujumiwa kama zamani,
Ili tu walioko kwenye mfumo waendelee kuleta utitiri wa miradi ya umeme kwa 10%.
Ili tu waendelee kupata 10% kwenye makampuni yanayouza majenereta makubwa kwenye taasisi kama mabenki na viwanda.
Ili tu waendelee kupata 10% kwenye upatu wa mradi wa gesi ya LNG-Mtwara unaonadiwa kimataifa.
Ili tu waendelee kupata 10% kwenye uwekezaji mpya nishati ya upepo na Solar.
Ili tu waendelee kuneemeka na 10% ya uuzaji Mafuta kwenye majenereta ya IPTL mpya.
Tunawaona na Tunawapimia.
Alamsiki!
View attachment 2397812
Labda nyie Sukuma Gang mtamkumbuka"Siku moja mtanikumbuka, najua mtanikumbuka kwa mazuri si kwa mabaya, kwa sababu nime 'SACRIFICE' MAISHA YANGU kwa ajili ya Watanzania maskini" ~ Hayati. John Magufuli (#RIP).
Ingawa najua kuna lile kundi lililojaa sumu,kwa machungu ya kukaa vijiweni.baada ya kukumbwa na "Panga" la JPM kwenye vyeti fake,ajira hewa,utumbuzi majipu,uchaguzi 2020.
Mtaendelea kutukana ....ila "UKWELI" Utaendelea kusimama mahala pake bila kutetereka.
Na Kwa mgao huu wa kulazimishwa....
Hayo maneno yanazidi kusikika masikioni mwa wengi.
Na yataendelea kusikika zaidi kadri siku zinavyozidi kusonga mbele taratibu.
Wao wanalamba "ASALI" wananchi tunalambishwa "SHUBILI"
Sasa Mabwawa ya hydroelectric yanafunguliwa kwa kuhujumiwa kama zamani,
Ili tu walioko kwenye mfumo waendelee kuleta utitiri wa miradi ya umeme kwa 10%.
Ili tu waendelee kupata 10% kwenye makampuni yanayouza majenereta makubwa kwenye taasisi kama mabenki na viwanda.
Ili tu waendelee kupata 10% kwenye upatu wa mradi wa gesi ya LNG-Mtwara unaonadiwa kimataifa.
Ili tu waendelee kupata 10% kwenye uwekezaji mpya nishati ya upepo na Solar.
Ili tu waendelee kuneemeka na 10% ya uuzaji Mafuta kwenye majenereta ya IPTL mpya.
Tunawaona na Tunawapimia.
Alamsiki!
View attachment 2397812
Mwenyewe nashangaa🤷🤷AKUMBUKWE JPM.
Kabla ya hapo maisha yalikuwaje pamoja na kuwepo hiyo unayoiita maoni ya wengi?
Je! hayo maoni ya wengi yana tija gani linapokuja kwenye maisha kawaida ya mtanzania tofauti na nyinyi wana siasa uchwara wa kibongo.
Mnaoifanya siasa kuwa ajira na chanzo pekee cha mapato?
Mwanasiasa wa kibonho akizuiwa siasa anakuwa kama kafukuzwa kibaruani.
Ni kama sasa mlivyopoteana baada ya JPM kufanya yake 2020,na wananchi 'wakaamua'
Yule mzee alitu-fix sana.Siku moja mtanikumbuka, najua mtanikumbuka kwa mazuri si kwa mabaya, kwa sababu nime 'SACRIFICE' MAISHA YANGU kwa ajili ya Watanzania maskini"
Kila nikimuona Tundu Lissu na mwendo wake wa kuvuta mguu namkumbuka sanaTunaomkumbuka kwa mabaya yake tujuane.
Bado kuna wizi mkubwa unaoendelea kwa system ya wanasiasa wote.Kwa hiyo changamoto ya umeme na maji itakapotatuliwa kutakuwa hakuna sababu ya kumkumbuka?
Miaka miwili tangu azikwe Chato!Yule mzee alitu-fix sana.
Cag aliposema 1.5t haionekani, akamtemesha kibarua.
Tenda nyingi za ujenzi katoa Kwa mayanga construction Kwa upendeleo.
Kwenye manununzi ya ndege etc, hakuna auditing.
Leo tunasikia Tena pesa za plea bargaining hazjulikani ziko wapi.
Wananchi wahoji wapi zaidi ya haya tunayoandika,huku wenye machungu yenu mkiendelea kulipiza visasi?Wananchi gani waliamua zaidi ya vyombo vya dola? Hayo unayosema JPM kafanya ndio hili balaa la umeme kukatika na hakuna wa kuhoji zaidi ya kulalamika.
Kimbilio lenu ni hilo la kusema wanaoongea ukweli kuhusu mwendakuzimu na ushetani wake wote eti ni wenye vyeti feki!!Na bado hukuweza na hutaweza kurudi kutumia hicho cheti tena maishani.
Mpaka unaingia getini kaburini.
Wananchi wahoji wapi zaidi ya haya tunayoandika,huku wenye machungu yenu mkiendelea kulipiza visasi?
Mnachokililia sio Demokrasia ya kweli bali ulaji wa kupitia Domo-kula-sia.
Subirini tena 2025 kama upepo utakuwa upande wa matumbo yenu!
Kwa sasa Endeleeni kununa tu.
Halafu ondoa hilo lipicha la shetani humu utatusababishia mikosi aliyoondoka nayo"Siku moja mtanikumbuka, najua mtanikumbuka kwa mazuri si kwa mabaya, kwa sababu nime 'SACRIFICE' MAISHA YANGU kwa ajili ya Watanzania maskini" ~ Hayati. John Magufuli (#RIP).
Ingawa najua kuna lile kundi lililojaa sumu,kwa machungu ya kukaa vijiweni.baada ya kukumbwa na "Panga" la JPM kwenye vyeti fake,ajira hewa,utumbuzi majipu,uchaguzi 2020.
Mtaendelea kutukana ....ila "UKWELI" Utaendelea kusimama mahala pake bila kutetereka.
Na Kwa mgao huu wa kulazimishwa....
Hayo maneno yanazidi kusikika masikioni mwa wengi.
Na yataendelea kusikika zaidi kadri siku zinavyozidi kusonga mbele taratibu.
Wao wanalamba "ASALI" wananchi tunalambishwa "SHUBILI"
Sasa Mabwawa ya hydroelectric yanafunguliwa kwa kuhujumiwa kama zamani,
Ili tu walioko kwenye mfumo waendelee kuleta utitiri wa miradi ya umeme kwa 10%.
Ili tu waendelee kupata 10% kwenye makampuni yanayouza majenereta makubwa kwenye taasisi kama mabenki na viwanda.
Ili tu waendelee kupata 10% kwenye upatu wa mradi wa gesi ya LNG-Mtwara unaonadiwa kimataifa.
Ili tu waendelee kupata 10% kwenye uwekezaji mpya nishati ya upepo na Solar.
Ili tu waendelee kuneemeka na 10% ya uuzaji Mafuta kwenye majenereta ya IPTL mpya.
Tunawaona na Tunawapimia.
Alamsiki!
View attachment 2397812
Nakuambia kitendo cha Mwenyezi Mungu kumfanya kuwa Rais alikuwa na nia kutuonesha kwamba inawezekana.Magufuli alikua Rais wa kweli. Alilipenda taifa na watu wake. Hakuwa mkamilifu ila alikua mwaminifu katika uzalendo wake. Inaumiza sana namna alivyoondolewa lakini inatia moyo kwamba kumbe inawezekana. Tusonge mbele yajayo yanafurahisha. Hawa mafala wachache wanaoipindisha nchi ni kitambo kidogo watabaki historia, hatutowasikia tena kisiasa. Taifa hili haliwezi kurudi kule tulikotoka, hii ni dhahiri na itakua.
upo wengi sana ukiondoa mishenzi michache iliyokuwa ikinufaika na magenge yake ya ujambaziTunaomkumbuka kwa mabaya yake tujuane.