Wosia wa Hayati Magufuli ”Mtanikumbuka” Unatimia

Kabla ya hapo maisha yalikuwaje pamoja na kuwepo hiyo unayoiita maoni ya wengi?

Je! hayo maoni ya wengi yana tija gani linapokuja kwenye maisha kawaida ya mtanzania tofauti na nyinyi wana siasa uchwara wa kibongo.

Mnaoifanya siasa kuwa ajira na chanzo pekee cha mapato?

Mwanasiasa wa kibonho akizuiwa siasa anakuwa kama kafukuzwa kibaruani.

Ni kama sasa mlivyopoteana baada ya JPM kufanya yake 2020,na wananchi 'wakaamua'
 
AKUMBUKWE JPM.
 
Labda nyie Sukuma Gang mtamkumbuka
 

Wananchi gani waliamua zaidi ya vyombo vya dola? Hayo unayosema JPM kafanya ndio hili balaa la umeme kukatika na hakuna wa kuhoji zaidi ya kulalamika.
 
Siku moja mtanikumbuka, najua mtanikumbuka kwa mazuri si kwa mabaya, kwa sababu nime 'SACRIFICE' MAISHA YANGU kwa ajili ya Watanzania maskini"
Yule mzee alitu-fix sana.
Cag aliposema 1.5t haionekani, akamtemesha kibarua.
Tenda nyingi za ujenzi katoa Kwa mayanga construction Kwa upendeleo.
Kwenye manununzi ya ndege etc, hakuna auditing.
Leo tunasikia Tena pesa za plea bargaining hazjulikani ziko wapi.
 
Kwa hiyo changamoto ya umeme na maji itakapotatuliwa kutakuwa hakuna sababu ya kumkumbuka?
Bado kuna wizi mkubwa unaoendelea kwa system ya wanasiasa wote.
Walioko CCM na hata wa Upinzani.

Hii ni chain ile ile iliyokuwepo enzi zake mshika remote wa sasa!
 
Miaka miwili tangu azikwe Chato!
Amewaachia ofisi ya Ikulu na Makabrasha yake yote,amewaachia TISS na TAKUKURU yote.

Hakuna alichoingia nacho kaburini!

Mbona hamtuonyeshi ushahidi wa huo ufisadi,mnaishia kuropoka kama wake wenza na gubu la wivu!
 
Wananchi gani waliamua zaidi ya vyombo vya dola? Hayo unayosema JPM kafanya ndio hili balaa la umeme kukatika na hakuna wa kuhoji zaidi ya kulalamika.
Wananchi wahoji wapi zaidi ya haya tunayoandika,huku wenye machungu yenu mkiendelea kulipiza visasi?

Mnachokililia sio Demokrasia ya kweli bali ulaji wa kupitia Domo-kula-sia.

Subirini tena 2025 kama upepo utakuwa upande wa matumbo yenu!
Kwa sasa Endeleeni kununa tu.
 
Na bado hukuweza na hutaweza kurudi kutumia hicho cheti tena maishani.
Mpaka unaingia getini kaburini.
Kimbilio lenu ni hilo la kusema wanaoongea ukweli kuhusu mwendakuzimu na ushetani wake wote eti ni wenye vyeti feki!!

Nikisema kwamba wote mnaomkumbuka na kumlilia ni wale aliowapa m.mba na kuwa sehemu ya wanufaika wa mfumo ovu wake,nitakuwa nakosea!!???
 

Nani anune, nuneni nyie mnaosema dhalimu angekuwepo umeme usingekatika.
 
Halafu ondoa hilo lipicha la shetani humu utatusababishia mikosi aliyoondoka nayo
 
Nakuambia kitendo cha Mwenyezi Mungu kumfanya kuwa Rais alikuwa na nia kutuonesha kwamba inawezekana.
Na CCM itakuwa wanajutia sana na kujiuliza ilikuwaje?..Ila Mungu ni muweza wa yote.
JPM aliset standard ya juu sana..sasa hawa wenzangu na mimi wanatoa macho tu...Uongozi sio lelemama.
Na wananchi wanaona...huu ni mwanzo tu...shughuli ipo mbele tusubiri...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…