Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua

Boy....... don't be trippin in them timberland...... N just so u know.... I don't do canceling when it comes to an Asswhooping. I go on like a rocket going to space..... So its on am on my way.......
Just pull up.
 
Mbona alikuwa na duka la fenicha? Lina roho mbaya sana hili mwanamke. Hizo 2millions dollars zinamtosga kama kazimalisha shauri zake.
Mkuu kwa level ya jack biashara ya furniture haikua level yake..mie nasemea kampuni ambayo ingekuwa inadeal labda na construction huko unajilia mitender tu ..furniture,? Argh
 
Eti vimetengenezwa na mbao za mabaki ya meli. Watu tunakalia viti vya plastic vya bar yeye analeta mambo ya historia za mabaki kwa gharama za juu utadhani labda ukikalia vinatibu magonjwa😀😀
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 mbavu zangu mie jamani🤣🤣
 
True angekuwa hata na jewelry shop angekuwa kapatia....
Jewelry 92% wanazifanya wenzetu wahindi sijui tunafeli wapi waafrica...yaan kuutwa alikua anashinda na wale maslayqueen wake kujiselfie aisee mm mwaka mmoja nasimamisha bonge ya kampuni ..unachakarika had unahakikisha inesimama .naudhika sana na aina ya wanawake aina ile ..
Ningehakikisha nna vitalu vya uchimbaji eneo kubwa, vitalu ya uwindaji eneo lankutosha yaan sehemu zenye fweza angesimamisha kampuni za maana...mafala tu wale
 
Mbususu
 
Hoja 1: ni usimamizi wa mirathi

Hoja 2:mgawanyo ufanyike kwa wahusika wote mara moja ikiwa ni pamoja na huyo mrembo.

Mytake:sasa shida iko wapi maana naona wachangiaji wote wanamshambulia jack.

Hakuna mchangiaji hata mmoja aliyeelewa tafsiri ya hiyo hukumu....over
 
Hata tukisema Mengi alikuwa na akili timamu, hakuna kiwango cha weledi ktk wosia ule kama unavyojaribu kusema.

Wosia ni nyaraka ya kisheria, kama imekosolewa vikali na chombo kikuu cha kutafsiri sheria kisha kubatilishwa wote basi amini hakuna huo weledi.

Huenda kinachovutia ni aina ya uandishi ule uliojaa maneno mengi yenye mbwembwe za kisheria ambayo nayo hakuandika yeye mwenyewe pasi kwa msaada wa mwanasheria wake.

Yatosha kusema, utimamu wa akili ya Marehemu usipimwe kwa karatasi ile ambayo hata hivyo hakuiandika yeye mwenyewe perse, bali upimwe kwa vigezo zaidi vya kisheria ambavyo vipo....
 
Mrembo anaweza patab1/10 sasa utasema amepata utajiri hapo?
Alitaka vyote
 
Ni Kweli Huyo Dada Jaq. Kuna Uhuni alitaka kuufanya, Mlyambina amepiga Chini Hyo will aliyokuwa anatamba Nayo Jaq. Nadhani Jamaa wakihamua Kufanya uchunguzi Wa Kifo Cha Mzee Mengi Yataibuka Mambo Mazito Sana.
 
Namshangaa Sana huyu mwenzetu..aisee..Yani Kama kaokoteza hii taarifa huko jalalani kaleta hapa
Mahakama imeukataa wosia uliokuwa ukidaiwa kuandikwa na aliyekuwa mfanyabiashara maarufu nchini marehemu Reginald Mengi pamoja na mambo mengine ikieleza kuwa haukidhi matakwa ya kisheria ili kuwa wosia halali.
_
Uamuzi huo ulitolewa jana na Jaji Yose Mlyambina kufuatia shauri la mirathi lililokuwa limefunguliwa na watu wanne wakiwemo ndugu wa marehemu, wakiomba kuteuliwa kuwa wasimamizi wa mirathi hiyo.
_
Jaji Mlyambina amefikia uamuzi huo baada ya kukubaliana na hoja za pingamizi lililowekwa na mmoja wa watoto wakubwa wa marehemu Mengi pamoja na ndugu yake marehemu Mengi, waliokuwa wakipinga uhalali wa wosia huo.
_
Hata hivyo, mtoto wa Marehemu Mengi, Abdiel Reginald Mengi na ndugu wa marehemu Mengi, Benjamin Abraham Mengi, waliweka pingamizi dhidi ya wosia huo, wakipinga uhalali wake huku wakiwasilisha jumla ya sababu nne za kuupinga.
_
Sababu hizo ni pamoja na kwamba haukwa umepigwa mhuri na saini iliyokuwepo ilikuwa ni tofauti na saini ya kawaida ya marehemu Mengi na kwamba haukushuhudiwa na ndugu au mke wa marehemu.
_
Pia walikuwa wakidai kuwa marehemu hakuwa na uwezo wa kuandaa wosia kwa kuwa alikuwa na matatizo ya kiafya tangu mwaka 2016 na kwamba unaondoa katika urithi, watoto bila kuzingatia mila za Kichaga au kuhusisha ndugu.
_
Mahakama Kuu baada ya kusikiliza hoja za pande zote katika hukumu yake iliyosomwa juzi na Jaji Mlyambina na nakala yake kupatikana jana kwa matumizi ya umma, alikubaliana na hoja za pingamizi hilo dhidi ya wosia huo na kuikataa kuwa ni batili.
_
Jaji Mlyambina alikubaliana na sababu hizo za pingamizi na pamoja na mambo mengine, amesema kuwa inawanyima urithi wanaye bila kutoa sababu, na kwamba ziliiingizwa mali za mke wake mkubwa.
_
Kwa uamuzi huo, Jaji Mlyambina hakuwateua waombaji hao kuwa wasimamizi wa mirathi na badala yake aliwateua Abdiel na Benjamini kuwa wasimamizi wa mirathi na akaelekeza mali za marehemu zigawiwe warithi wanaostahili kwa utaratibu wa kawaida kama wa mtu ambaye hakuacha wosia.
_
Awali mjane wa marehemu Mengi, Jacquiline alijaribu kuingia katika shauri hilo bila mafanikio baada ya mahakama hiyo kutupilia mbali maombi yake mara tatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…