Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua

Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua

Ni bora hata angewagana nao nusu kwa nusu, ila pamoja na yote kuwa na wale watoto wadogo hawezi kusahaulika
Ata-enjoy urithi wa watoto wakati ameshazeeka!!!

Kwavile ameshaonesha makucha hatari since Day One, LAZIMA atachaguliwa mtu mwingine kuwa Msimamizi wa mali za watoto hadi watakapofika 18 or even 21. Na kwavile watoto bado wadogo sana, inaweza kufunguliwa hata formal trust ili kuhakikisha mali za watoto hazipotei!

Na kwavile ameshaonekana ni nyoka, there's no way huo usimamizi akaja kupewa Jack... sana sana atatafutwa kutoka miongoni mwa Ukoo wa Mengi!
 
Siku moja nikamwuliza advocate mbona naona mhuri wako kwenye ule wosia? And she was like mimi sijauandaa. Niliitwa tu ukiwa ushaandaliwa na nikaweka muhuri tu. Advocate alihojiwa siku nzima. Na kiukweli kabisa apongezwe kwasababu alikua hayuko aware. Alijua tu michongo kama mingine. Na akasimamia ukweli na kuelezea kila kitu. Amemshika sana Mungu. So aibu ibaki kwa mhusika na tamaa zake.
Atulie na huyo bwnaake mzungu sasa na asubirie kugaiwa sawasawa na stahiki zake anazostahili na si according na usia aliouandaa

Duh 🙄 huo mgao unaweza kulia kama si kucheka.Wasimamizi wanaweza kumgawiya share ndogo sana.
 
Ila wazee wa kichagga sijui ndo niseme ni malimbukeni sana ama ni nn sijui. Yaan umalaya tu umewajaaa. Na haya ndo hugharimu familia. Watu wanazaa zaa ovyo. Nikimuwaza billionare mrema na ngurdoto yake na vitega uchumi vingine inasikitisha sana. Imagine michepuko imejilengesha huko kisa inajua kuna fursa. Wallah tungekifa wote. Halaf bado wanathibutu kunyoosha midomo.

Huyu procorine shayo naye aliyejigongesha juzi kati hapo tabata akafa naye baada ya kudaiwa kodi 2.4billion naye hovyo kabisa. Watu wanazaa ovyo ovyo tu. Hawajali masilahi ya wanaowaacha wala vitega uchumi walivyoviandaa... mtu uzeeni ndo unakuja fanya makosa ya kipuuzi hv. Mimi naheshimu watoto niliowakuta kabla ya ndoa. Ukija nimeshafunga utafurahi. Huyo baba yenu amalizane na nyie hukohuko. Tulieni jaman kaka zetu. Kwanza mnapitapita ovyo mnajiokotea maradhi wanawake wengine wamebeba mamikosi huko wengine wachawi tafrani.

Kaka zetu wa kichagga jitathminini sana. Munaacha majanga nyuma ya pazia..
Kwani shayo nae kaacha majanga??

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Yaani hata kama Mahakama ingeridhia huo wosia basi Mimi ningekuwa ndio Abdiel na ndugu zake ningeenda kupiga moto mali zote za marehemu ili iwe funzo. Mahakama ingenifunga kifungo tu na kuirudisha hiyo mali isingewezekana, yaani ningeanzia majengo ya ITV na vilivyomo hapo Mikocheni na kwenda kumalia Bonite.
 
Back
Top Bottom