Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua

Ni bora hata angewagana nao nusu kwa nusu, ila pamoja na yote kuwa na wale watoto wadogo hawezi kusahaulika
Ata-enjoy urithi wa watoto wakati ameshazeeka!!!

Kwavile ameshaonesha makucha hatari since Day One, LAZIMA atachaguliwa mtu mwingine kuwa Msimamizi wa mali za watoto hadi watakapofika 18 or even 21. Na kwavile watoto bado wadogo sana, inaweza kufunguliwa hata formal trust ili kuhakikisha mali za watoto hazipotei!

Na kwavile ameshaonekana ni nyoka, there's no way huo usimamizi akaja kupewa Jack... sana sana atatafutwa kutoka miongoni mwa Ukoo wa Mengi!
 

Duh πŸ™„ huo mgao unaweza kulia kama si kucheka.Wasimamizi wanaweza kumgawiya share ndogo sana.
 
Ile sio biashara mkuu..vistuli unauza 3m..khaa ..! Angemfungulia kampuni hata za usafirishaj madin anajipelekea dubei huko au hata construction..mweeeee nasema mweeeeee!
Mnanunua nyie si wapambanaji wenzie mnamuungisha shoga yenuπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Kwani shayo nae kaacha majanga??

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
Yaani hata kama Mahakama ingeridhia huo wosia basi Mimi ningekuwa ndio Abdiel na ndugu zake ningeenda kupiga moto mali zote za marehemu ili iwe funzo. Mahakama ingenifunga kifungo tu na kuirudisha hiyo mali isingewezekana, yaani ningeanzia majengo ya ITV na vilivyomo hapo Mikocheni na kwenda kumalia Bonite.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…