Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua

Kwani wakati Mengi yupo hai hao watoto wakubwa kuna hela zozote walikuwa wanachukua ?
Kama sivyo hiyo nguvu wanaipata wapi.
Mengi asingeandika Wosia watoto wa Jack wangedhulumiwa vibaya.Mengi anawajua wachaga vuzuri, msifikiri Mengi alikuwa mjinga.
Hiyo utajua wewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wameshindwa ku think out the box kama wewe 😅😅😅 uliezama migodini
Sio lazima wote twende huko mzee..sikua na maana hiyo...lakini unachance ya kupata hela nzuri why usifanye vitu vikubwa vya maana ukawekeza had wajukuu wakaja tumia hizo mali?
 
Inatakiwa yule dada apewe kesi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nafikiri Tz sasa no rasmi kuwa hatuna nidhamu katika masuala ya sheria. Mama marehemu hakutaka kuacha mali kwa wanawe, huo ndio uamuzi wake. Kwa nini unabadilishwa? Sio lazima kwa mtu kuacha urithi kwa mwanawe, na kwa suala hili, watoto ni wakubwa, wana biashara/ shughuli zao.
 
Huyu dada kashindwa kutafuta hela zake mwenyewe, anataka kutumbua za huyu Mzee wa watu aliyechuma miaka nenda rudi tena kwa shida kubwa.
Uamuzi we marehemu uheshimiwe, ndio alivyotaka, si mali yake? Huyo kaka/mdogo yake walichuma wote? Mbona yeye hana utajiri kama wa nduguye?
 
Nimesoma japo kiingeleza kigumu. Nimeelewa kuwa
Mwanandoa hatakiwi toa Urithi kwa jumla ya mali kwa kujumlisha na mali za mwanamke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao wenzetu utu hawana ni pesa mbele.mchaga Kama ni masikini haendi kwao na rafiki zake no vyasaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…