Wosia wa Mirathi ya Dkt. Reginald Mengi: Jacqueline Ntuyabaliwe adondokea pua


Vicky anavyojililisha insta [emoji23][emoji23]
 

Hivi siku hizi anasafiri sana kama zamani?
 
Uamuzi we marehemu uheshimiwe, ndio alivyotaka, si mali yake? Huyo kaka/mdogo yake walichuma wote? Mbona yeye hana utajiri kama wa nduguye?
Aiseer. Weee nayeee... mali zake peke yake? Unaijua historia vizuri ya marehem na mkewe Mercy Shangali mjukuu wa mangi wewe? Ama wapaparika tu. Huoni hapo mali zingine zilikua za mke mkubwa? Kama hujuagi vitu tulia ufunzwe sheria japi kidogo. Mali za marehem mercy zinakuaje za mengi? Wosia wa marehem? Una kichaa kweli wewe. Ule unaamini ni wosia wa marehemu ule?
 
Wanaume atupendi kuoa wanawake wengine sema vurugu za mwanamke akijiona yupo pekee yake ni pasua kichwa japo kuoa mwingine ni pasua kichwa zaidi.Wa kwanza hawezi kukua sababu ya mali wa pili chance ni 80% sababu kafata mali akuondoe ale na vi ben 10.
 
Kwann?! Wale ni sehemu ya familia ya mengi why wasipate.
Kaka mtu amesema ukisoma katika hiyo hukumu, anataka awaandae hao watoto ili waje kuendeleza mali ya familia kwa miaka 50 hadi 60 mbele.
 
Mwishoni kwenye hukumu ametoa shule sana, yupo vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…