Unajia kama mtu ana tamaa ni ana tamaa tu. Jacky kila kitu alikua anaganyiwa na still anafanyiwa. Services za magari, nyumba, lila kitu. Unataka nini tena zaidi kama si tamaa? Si angepaswa subiria tu mambo yatengamae?
Angetulia angekuja pata malipo mazuri sana sana.
On the other hand, kuna wanawake wana tamaa sana. Ndo ile mtu anaanza misuse resources. Mf. Jacky... kuifurahisha jamii na crew yako badala basi angalau hata kujiwekeza. Wapo wanandoa ambao wana biashara kwa pamoja na wanashirikiana vizuri sana. Na matunda tunayaona. Na ndo maana wanazidi kubarikiwa.