Mama yako angalisimu ungalimuua?Unakuwaje na akili timamu then uwe muislam?
Islam is stupidity.
Sijasema waislam wauawe....nimesema uislam ni ujinga.Mama yako angalisimu ungalimuua?
Kwa hivyo mama yako akisilimu atakuwa stupid?Sijasema waislam wauawe....nimesema uislam ni ujinga.
Ndio kabisaaaa,Kwa hivyo mama yako akisilimu atakuwa stupid?
Unakuja kulikua na makafiri wakubwa,wasomi na matajiri wakisema na walikua na chuki zaidi yako na hivi waislam? Unajua hivyo? Nikupe mfano?Ndio kabisaaaa,
Sisi tumemuamini yeye alikufa na kufufuka ndio katuthibitishia yeye ni niia ya kweli na uzima. Njia ni YESU KRISTO nakushauri kuwa wakristo.Ninamuomba Mwenyezi Mungu awaongoze kwenye haki na awaonyeshe njia iliyo sahihi.
Amin.
Nimekwambia uislam ni ujinga, sasa hao watu ni wa nini mkuu ikiwa wameamua kuwa wajinga! Huwezi kumpangia mtu cha kuamini ndio maana nimesema hata mama yangu akiamua kuwa muislam ni kwamba ameamua kuwa mjinga.Unakuja kulikua na makafiri wakubwa,wasomi na matajiri wakisema na walikua na chuki zaidi yako na hivi waislam? Unajua hivyo? Nikupe mfano?
🚮Nimekwambia uislam ni ujinga, sasa hao watu ni wa nini mkuu ikiwa wameamua kuwa wajinga! Huwezi kumpangia mtu cha kuamini ndio maana nimesema hata mama yangu akiamua kuwa muislam ni kwamba ameamua kuwa mjinga.
Sasa kutaja majina haitakuwa na maana yoyote ya msingi.
Kiufupi, yeyote anayechagua kuwa muislam amechagua kuwa mjinga.
Uko tayari tuchambue hoja ulizoandika hapo juu?
Kwa mfano unasema uislam ni wa haki! Kuna haki kwenye uislam?
Thibitisha Allah yupo bila longolongo.Wosia Wangu kwa Wasiokuwa Waislam kuingia katika Uislam
Ndugu zangu wapendwa,
Ninawaandikia kwa moyo wa upendo na kujali, nikitamani kheri kwenu duniani na Akhera. Katika maisha haya, kila mmoja wetu anatafuta ukweli, utulivu wa moyo, na maana halisi ya kuwepo kwake. Kwa unyenyekevu, napenda kuwashirikisha kwamba nimeuona Uislam kuwa njia sahihi ya kumjua Muumba na kuishi maisha yenye mwongozo kamili.
Uislam unatufundisha kumwabudu Mwenyezi Mungu mmoja tu, bila mshirika, na kufuata mafundisho ya Mtume Muhammad (rehema na amani ziwe juu yake). Ndani yake kuna mfumo wa maisha unaogusa kila upande wa mwanadamu—kuanzia maadili, haki, familia, hadi jamii kwa ujumla.
Faida za kuwa Muislam duniani:
Utulivu wa moyo:
1. Kumtegemea Mwenyezi Mungu huondoa wasiwasi na hofu zisizo na msingi.
2. Maadili bora: Uislam unajenga tabia njema kama uaminifu, huruma, na uvumilivu.
3. Nidhamu ya maisha: Ibada kama swala na saumu hujenga ratiba na kujitawala.
4. Haki na usawa: Unafundisha kuheshimu haki za watu wote bila ubaguzi.
5. Jamii imara: Hukuza mshikamano, kusaidiana, na upendo miongoni mwa watu.
Faida za kuwa Muislam Akhera:
1.Msamaha wa dhambi: Mwenyezi Mungu husamehe waliotubu kwa dhati.
2. Amani ya milele: Kuokoka na adhabu na kupata maisha ya milele yenye furaha.
3. Pepo (Jannah): Ahadi ya malipo makubwa kwa wenye kumtii Mwenyezi Mungu.
4. Radhi za Mwenyezi Mungu: Hili ndilo lengo kubwa zaidi kwa muumini.
Ninawasihi:
Chunguzeni Uislam kwa moyo wa haki na bila upendeleo
Somani Qur’an kwa tafakari ya kina
Ulizeni maswali na tafuteni elimu kutoka kwa wanaojua
Msikubali kuhukumu bila kujua, wala kufuata mitazamo ya watu bila uthibitisho. Ukweli unahitaji juhudi ya kuutafuta.
Kumbukeni, kuingia katika Uislam si kupoteza kitu, bali ni kupata mwongozo, utulivu wa moyo, na uhusiano wa moja kwa moja na Muumba wako. Ni mwanzo mpya wa maisha yenye matumaini na nuru.
Ninamuomba Mwenyezi Mungu awaongoze kwenye haki na awaonyeshe njia iliyo sahihi.
Amin.
Weka hoja kiongozi, kama huna kitu Kaa kimyađźš®
UsinipangieWeka hoja kiongozi, kama huna kitu Kaa kimya
Kuna shida gani watu wakiabudu miungu mingi kama vile wanavyofanya Wahindu au walivyofanya babu zetu??Wosia Wangu kwa Wasiokuwa Waislam kuingia katika Uislam