Wosia wangu kwa wasiokuwa Waislam

Wosia wangu kwa wasiokuwa Waislam

1000045808.png
 
Jambo la muhimu la kufahamu ni kuwa haki inatendwa na mtu, na siyo dini. Iran iliongozwa na muislam, tena aliyesema anaongoza kwa sheria za dini ya kiislam, lakini Iran ikawa ndiyo nchi dhulumati kiongozi Duniani dhidi ya haki za watu. Iran ikawa nchi inayoongoza kwa kuua raia wake wote wanaohoji vitendo viovu vya serikali yao, na hata sasa inaendelea kuwanyonga watu wake. Mpaka leo, Iran ndiyo nchi inayoongoza kwa Mashariki ya kati kuwa na wakimbizi wengi zaidi kuliko nchi nyingine yoyote. Je, kuua watu wako hovyo ndiyo kutenda haki, ndiyo kuwapenda?
Vitendo binavyofanywa na baadhi ya watawala wa kiislam, tena wanaosimama na kujiona waislam zaidi, kiuhalisia, ndio wanaofuta dini ya kiislam kuonekana ni dini ya haki. Maana unakuta haki inavyochezewa kwenye tawala zao ni aheri watawala wapagani wana huruma na upendo wa kweli.
Jiulize hata kwa nchi yetu, ni wakati wa mtawala wa dini gani ndipo watu wameuawa wengi zaidi? Ni wakati wa mtawala wa dini gani ndipo haki za watu wa hali ya chini zimekanywagwa zaidi, na rushwa kubwa kuneemeka? Je, kuendekeza rushwa, ufisadi na dhuluma dhidi ya wananchi, ndiyo haki?
 
Hivi faida haswa ya dini kwa mwanadamu ninini?
Mwanadamu anafarijika kwa umaskini wake hapa duniani kuwa ndiyo tiketi ya kuingia kwenye ufalme wa mbinguni.
Huko kwa "Baba" atakula na kusaza(sijui alivyo pika nani) na ataburudika na mabikira (huku duniani tumeambiwa tusizini) zaidi ya 70 ...
Twende na dini tukale mema ya ahera...
 
Ahadi za dini kwa waamini wao dhidi ya Pepo ama mbingu ukizifikiria vizuri zina walakini.
 
Kweli Africa ni Bara la Giza.

Tatizo kubwa la waislamu wa Tanzania ni kupenda unafiki na kutokukubali kuwajibika.

Mosi, kama ni kweli ninyi mngekuwa ni waaminifu basi nadhani hili taifa lingekuwa pazuri sana maana mko wengi sehemu nyeti. Ila unaweza kukuta jitu lina SIGDA usoni lakini ni jambazi kubwa la mali za ummah na lina historia ya ubadhilifu. Wakati JPM analalamika kuhusu NSSF kuchezewa, pale palikuwa na jitu linaitwa Ramadhani Dau, lina SIGDA usoni lakini lina historia chafu ya matumizi mabaya ya ofisi.

Pili, huu ujinga wa kupenda kusema dini yetu ni waaminifu na watu wema kuliko dini fulani, ni ujinga ambao utauona kwa Wakatoliki na Waislamu wa Tanzania ambao hawapendi kuwajibika, wanafiki na wasiopenda ukweli. Watanzania mbali na hizi dini za mashua, ni watu ambao tunapenda kuendesha maisha yetu kiholela, kimazoea na kuswahili-swahili tu. Bora liende tu. Hata hizo dini unazozitaja hapa hazijaweza kuwasaidia watanzania zaidi ya kuwaongezea mzigo na utumwa wa kifikra usioa na mantiki.

Sisi watanzania mbali na dini hizi (Ukatoliki na Uislamu) tuna utamaduni wa kuhusudu Ujinga-Ujinga, kutokuwajibika na kupenda mazoea. Kiukweli mpaka sasa sijaona kama dini imemuokoa mtanzania kwa kiwango ambacho Mapadre na Maskeikh wanapenda kupiga propaganda.

Tatu, waislamu wa Tanzania hampendi shule na mmekuwa watu ambao mnayachukia maarifa. Hili lipo sana kwenye dhehebu la Wasuni. Ninyi na shule ni maji na mafuta. Halafu mkikaa kwenye mihadhara yenu kazi ni kulaumu Nyerere na Mfumo Kristo. Sijawahi kuona waislamu wanachangishana hata fedha kiwango fulani ili wajenge chuo, shule, benki au soko. Ila kwenye kudai mahakama ya kadhi, punguzo la kodi kwenye tende, viazi na harua hamjambo. Mikoa ya Pwani yenye waislamu wengi ndiyo inaongoza kwa kufelisha watoto. Wanapenda Unyago na Vigodoro. Kwanini hata hamstuki lakini ???

Wakatoliki pamoja na kuwa wanafiki na wenye akili za kitumwa, walichukua nafasi kuanzisha vyuo vyao. Nakumbuka mbali na kupewa vyuo na kina Mkapa na Magufuli, walipitisha mchango makanisa yote Tanzania ambao kila Mkatoliki alichangia TSh 200. Sijawahi kuona kitu kama hiki kwa waislamu ila kwenye kulalamika ndiyo washika bendera wakubwa.

Nne, waislamu kama wazelote wa dini nyingine wanapenda unafiki mno. Hulazimisha watu wengine kufanya mambo yao na kutaka kuonekana wasafi mbela za ummah (Collectively), lakini tabia chafu wengi wanazo hadi inatia kichefuchefu. Mikoa ambayo imejaa waislamu kuna uhalifu mwingi na kukosa maadili kama mikoa ambayo wamejaa wakristo. Zanzibari ilishawahi kufanyika tafiti wakakuta kiwango cha unajisi watoto Madrasa kutoka kwa hawa masheikh ni kikubwa cha kutisha hadi wakalalama ripoti ikafichwa. Hayo ya Mapadri kuwa mashoga na kunajisi watoto au kunajisiwa wenyewe hata kwa waislamu lipo sana tu.

Binafsi naamini kufunguka fikra (Enlightenment) ni jambo binafsi ambalo linahusiana na mtu na mola wake tu, siyo mwamvuli wa dini. Watanganyika mkiendelea kuamimi kwamba sijui Ukristo au Uislamu ndivyo vitawaletea maendeleo basi mtachelewa sana na wazungu watarudi kuwatawala.
​
 
Kweli Africa ni Bara la Giza.

Tatizo kubwa la waislamu wa Tanzania ni kupenda unafiki na kutokukubali kuwajibika.

Mosi, kama ni kweli ninyi mngekuwa ni waaminifu basi nadhani hili taifa lingekuwa pazuri sana maana mko wengi sehemu nyeti. Ila unaweza kukuja jitu lina SIGDA usoni lakini ni jambazi kubwa la mali za ummah na lina historia ya ubadhilifu. Wakati JPM analalamika kuhusu NSSF kuchezewa, pale palikuwa na jitu linaitwa Ramadhani Dau, lina SIGDA usoni lakini lina historia chafu ya matumizi mabaya ya ofisi.

Shemeji, ahsante kwa kutuamsha. Tupo kwenye usingizi wa pono kwenye dini,tu nalala tuna amka neno letu la kwanza ni "Mungu tenda miujiza leo"
Akili zetu zimelala misikitini na makanisani
 
Wosia Wangu kwa Wasiokuwa Waislam kuingia katika Uislam

Ndugu zangu wapendwa,
Ninawaandikia kwa moyo wa upendo na kujali, nikitamani kheri kwenu duniani na Akhera. Katika maisha haya, kila mmoja wetu anatafuta ukweli, utulivu wa moyo, na maana halisi ya kuwepo kwake. Kwa unyenyekevu, napenda kuwashirikisha kwamba nimeuona Uislam kuwa njia sahihi ya kumjua Muumba na kuishi maisha yenye mwongozo kamili.

Uislam unatufundisha kumwabudu Mwenyezi Mungu mmoja tu, bila mshirika, na kufuata mafundisho ya Mtume Muhammad (rehema na amani ziwe juu yake). Ndani yake kuna mfumo wa maisha unaogusa kila upande wa mwanadamu—kuanzia maadili, haki, familia, hadi jamii kwa ujumla.

Faida za kuwa Muislam duniani:
Utulivu wa moyo:
1. Kumtegemea Mwenyezi Mungu huondoa wasiwasi na hofu zisizo na msingi.

2. Maadili bora: Uislam unajenga tabia njema kama uaminifu, huruma, na uvumilivu.
3. Nidhamu ya maisha: Ibada kama swala na saumu hujenga ratiba na kujitawala.
4. Haki na usawa: Unafundisha kuheshimu haki za watu wote bila ubaguzi.
5. Jamii imara: Hukuza mshikamano, kusaidiana, na upendo miongoni mwa watu.

Faida za kuwa Muislam Akhera:

1.Msamaha wa dhambi: Mwenyezi Mungu husamehe waliotubu kwa dhati.
2. Amani ya milele: Kuokoka na adhabu na kupata maisha ya milele yenye furaha.
3. Pepo (Jannah): Ahadi ya malipo makubwa kwa wenye kumtii Mwenyezi Mungu.
4. Radhi za Mwenyezi Mungu: Hili ndilo lengo kubwa zaidi kwa muumini.

Ninawasihi:
Chunguzeni Uislam kwa moyo wa haki na bila upendeleo
Somani Qur’an kwa tafakari ya kina
Ulizeni maswali na tafuteni elimu kutoka kwa wanaojua
Msikubali kuhukumu bila kujua, wala kufuata mitazamo ya watu bila uthibitisho. Ukweli unahitaji juhudi ya kuutafuta.
Kumbukeni, kuingia katika Uislam si kupoteza kitu, bali ni kupata mwongozo, utulivu wa moyo, na uhusiano wa moja kwa moja na Muumba wako. Ni mwanzo mpya wa maisha yenye matumaini na nuru.
Ninamuomba Mwenyezi Mungu awaongoze kwenye haki na awaonyeshe njia iliyo sahihi.
Amin.

Naomba majibu ya hoja, sio hisia
Labda utanishawishi 🙏
Mnasema Uislam ni dini ya haki na usawa lakini huo usawa uko wapi ikiwa mwanaume anaweza kuoa wake hadi wanne (Qur’an 4:3) na mwanamke haruhusiwi kuwa na waume zaidi ya mmoja?
Hata hiyo Qur’an inakiri kuwa uadilifu ni mgumu kwa hiyo huu mfumo ni usawa au upendeleo wa upande mmoja?
Pia, kwa nini mwanamke anawekewa masharti makali ya kujisitiri kuliko mwanaume? Hii nayo mnaiita usawa?
Sina maana kwamba mwanamke atembee uchi

Kama ni dini ya haki na amani, kwa nini mtu akiamua kuacha Uislam huonekana kama mkosaji mkubwa au hata kustahili adhabu kali katika baadhi ya tafsiri?
Wakati huo huo Qur’an (2:256) inasema hakuna kulazimishwa katika dini je, hii ni nadharia tu au inafanya kazi kwa vitendo?

Kuhusu malezi kwa nini watoto wanafundishwa kujitenga na dini nyingine (mfano, kuambiwa wasishiriki au kupokea vitu wakati wa sikukuu za Wakristo wakidai ni haramu)? Hii nimeshuhudia kabisa
Je, hii ni kulinda imani au ni kupanda mbegu ya kujiona bora kuliko wengine?

Ndugu Malaria 2 karibu njoo kwa hoja
Na Usome kwaida usisome kwa kuhisi na kashfu karibu👍
 
Wosia Wangu kwa Wasiokuwa Waislam kuingia katika Uislam

Ndugu zangu wapendwa,
Ninawaandikia kwa moyo wa upendo na kujali, nikitamani kheri kwenu duniani na Akhera. Katika maisha haya, kila mmoja wetu anatafuta ukweli, utulivu wa moyo, na maana halisi ya kuwepo kwake. Kwa unyenyekevu, napenda kuwashirikisha kwamba nimeuona Uislam kuwa njia sahihi ya kumjua Muumba na kuishi maisha yenye mwongozo kamili.

Uislam unatufundisha kumwabudu Mwenyezi Mungu mmoja tu, bila mshirika, na kufuata mafundisho ya Mtume Muhammad (rehema na amani ziwe juu yake). Ndani yake kuna mfumo wa maisha unaogusa kila upande wa mwanadamu—kuanzia maadili, haki, familia, hadi jamii kwa ujumla.

Faida za kuwa Muislam duniani:
Utulivu wa moyo:
1. Kumtegemea Mwenyezi Mungu huondoa wasiwasi na hofu zisizo na msingi.

2. Maadili bora: Uislam unajenga tabia njema kama uaminifu, huruma, na uvumilivu.
3. Nidhamu ya maisha: Ibada kama swala na saumu hujenga ratiba na kujitawala.
4. Haki na usawa: Unafundisha kuheshimu haki za watu wote bila ubaguzi.
5. Jamii imara: Hukuza mshikamano, kusaidiana, na upendo miongoni mwa watu.

Faida za kuwa Muislam Akhera:

1.Msamaha wa dhambi: Mwenyezi Mungu husamehe waliotubu kwa dhati.
2. Amani ya milele: Kuokoka na adhabu na kupata maisha ya milele yenye furaha.
3. Pepo (Jannah): Ahadi ya malipo makubwa kwa wenye kumtii Mwenyezi Mungu.
4. Radhi za Mwenyezi Mungu: Hili ndilo lengo kubwa zaidi kwa muumini.

Ninawasihi:
Chunguzeni Uislam kwa moyo wa haki na bila upendeleo
Somani Qur’an kwa tafakari ya kina
Ulizeni maswali na tafuteni elimu kutoka kwa wanaojua
Msikubali kuhukumu bila kujua, wala kufuata mitazamo ya watu bila uthibitisho. Ukweli unahitaji juhudi ya kuutafuta.

Kumbukeni, kuingia katika Uislam si kupoteza kitu, bali ni kupata mwongozo, utulivu wa moyo, na uhusiano wa moja kwa moja na Muumba wako. Ni mwanzo mpya wa maisha yenye matumaini na nuru.​

Ninamuomba Mwenyezi Mungu awaongoze kwenye haki na awaonyeshe njia iliyo sahihi.
Amin.
Nimeipenda hii
 
Kweli Africa ni Bara la Giza.

Tatizo kubwa la waislamu wa Tanzania ni kupenda unafiki na kutokukubali kuwajibika.

Mosi, kama ni kweli ninyi mngekuwa ni waaminifu basi nadhani hili taifa lingekuwa pazuri sana maana mko wengi sehemu nyeti. Ila unaweza kukuja jitu lina SIGDA usoni lakini ni jambazi kubwa la mali za ummah na lina historia ya ubadhilifu. Wakati JPM analalamika kuhusu NSSF kuchezewa, pale palikuwa na jitu linaitwa Ramadhani Dau, lina SIGDA usoni lakini lina historia chafu ya matumizi mabaya ya ofisi.

Pili, huu ujinga wa kupenda kusema dini yetu ni waaminifu na watu wema kuliko dini fulani, ni ujinga ambao utauona kwa Wakatoliki na Waislamu wa Tanzania ambao hawapendi kuwajibika, wanafiki na wasiopenda ukweli. Watanzania mbali na hizi dini za mashua, ni watu ambao tunapenda kuendesha maisha yetu kiholela, kimazoea na kuswahili-swahili tu. Bora liende tu. Hata hizo dini unazozitaja hapa hazijaweza kuwasaidia watanzania zaidi ya kuwaongezea mzigo na utumwa wa kifikra usioa na mantiki.

Sisi watanzania mbali na dini hizi (Ukatoliki na Uislamu) tuna utamaduni wa kuhusudu Ujinga-Ujinga, kutokuwajibika na kupenda mazoea. Kiukweli mpaka sasa sijaona kama dini imemuokoa mtanzania kwa kiwango ambacho Mapadre na Maskeikh wanapenda kupiga propaganda.

Tatu, waislamu wa Tanzania hampendi shule na mmekuwa watu ambao mnayachukia maarifa. Hili lipo sana kwenye dhehebu la Wasuni. Ninyi na shule ni maji na mafuta. Halafu mkikaa kwenye mihadhara yenu kazi ni kulaumu Nyerere na Mfumo Kristo. Sijawahi kuona waislamu wanachangishana hata fedha kiwango fulani ili wajenge chuo, shule, benki au soko. Ila kwenye kudai mahakama ya kadhi, punguzo la kodi kwenye tende, viazi na harua hamjambo. Mikoa ya Pwani yenye waislamu wengi ndiyo inaongoza kwa kufelisha watoto. Wanapenda Unyago na Vigodoro. Kwanini hata hamstuki lakini ???

Wakatoliki pamoja na kuwa wanafiki na wenye akili za kitumwa, walichukua nafasi kuanzisha vyuo vyao. Nakumbuka mbali na kupewa vyuo na kina Mkapa na Magufuli, walipitisha mchango makanisa yote Tanzania ambao kila Mkatoliki alichangia TSh 200. Sijawahi kuona kitu kama hiki kwa waislamu ila kwenye kulalamika ndiyo washika bendera wakubwa.

Nne, waislamu kama wazelote wa dini nyingine wanapenda unafiki mno. Hulazimisha watu wengine kufanya mambo yao na kutaka kuonekana wasafi mbela za ummah (Collectively), lakini tabia chafu wengi wanazo hadi inatia kichefuchefu. Mikoa ambayo imejaa waislamu kuna uhalifu mwingi na kukosa maadili kama mikoa ambayo wamejaa wakristo. Zanzibari ilishawahi kufanyika tafiti wakakuta kiwango cha unajisi watoto Madrasa kutoka kwa hawa masheikh ni kikubwa cha kutisha hadi wakalalama ripoti ikafichwa. Hayo ya Mapadri kuwa mashoga na kunajisi watoto au kunajisiwa wenyewe hata kwa waislamu lipo sana tu.

Binafsi naamini kufunguka fikra (Enlightenment) ni jambo binafsi ambalo linahusiana na mtu na mola wake tu, siyo mwamvuli wa dini. Watanganyika mkiendelea kuamimi kwamba sijui Ukristo au Uislamu ndivyo vitawaletea maendeleo basi mtachelewa sana na wazungu watarudi kuwatawala.
​
🔥🔥🔥
 
"MAMBO 6 YAHUSUYO UISLAMU, AMBAYO
WAISLAMU HUWA HAWAPENDI WAKRISTO
WAYAJUE, NA NDIYO MAANA MTU AKIACHA
UISLAMU HUWA WANAMUUA.

1. MUHAMMAD KUZALIWA AKIWA NA SHETANI.

Abu Huraira (r.a) amesimulia kuwa "Mtume
Muhammad (s.a.w) alikuwa na shetani tangu
alipozaliwa, (Fat'hul Baary Juzuu ya 6 Uk. 389)

Kitendo hicho cha Muhammad kuzaliwa akiwa na shetani, ni kutendo kibaya sana kwa mtu anaeitwa Mtume wa Mwenyezi Mungu, Maan Mitume wa Mungu huzaliwa kwa mpango wa Mungu mwenyewe na siyo kupitia shetani, waislamu wamefanya kuwa ni siri kubwa sana kwa wasio kuwa waislamu.

2. SHETANI (IBILISI) KUSILIMU NA KUWA
MUISLAMU

"Ni bahati mbaya kwamba Adamu na Hawa,
hawakufanikiwa kufanya Jitihada za kumwezesha
shetani na wanae kuomba Msamaha kwa Allah na
kuwa Waislamu, ni Mtume Muhammad tu ndiye
aliyemsilimisha shetani akawa Muislamu" (Kitabu cha asili ya majini uk. 20 Mwandishi Dr. Ahmad H. Sakr)

Jambo hili la shetani kusilimu na kuwa muislamu lilifichwa muda mrefu mpaka huyo Msomi mkubwa wa dini ya kiislamu, alipoamua kuweka mambo hadharani ndipo watu wakajua.

3. SHETANI KULALA NDANI YA TUNDU ZA PUA ZA WAISLAMU.

Amesimulia Abu Huraira (r.a) Mtume (s.a.w)
alisema, "Mmoja wenu anapoamka kutoka usingizi,
basi atawadhe na apandishe maji puani na apenge
mara tatu, kwa sababu shetani alilala ndani ya
tundu za pua yake" (Bukhari, Hadithi Na. 516,
Juzuu ya 4)

Hapo shetani anadhihirisha ni kiasi gani alivyo karibu sana na waislamu, mpaka anafikia hatua ya kulala kwenye pua zao, kwa upande wa usingizi sijui kama anasinzia, wanaojua ni waislamu.

4. SHETANI KUWAPULIZA WAISLAMU MATAKONI.

Kasema Mtume (s.a.w) anamwijia mmoja wenu
shetani katika Sala, basi anapuliza (anampuliza)
katika Matako yake, basi yule Mtu inamwijia fikra
ya kuwa umemtoka Upepo (Kajamba) naye
haukumtoka, basi akiona hali hiyo asiondoke
kwenye Sala, mpaka asikie Sauti ya kumtoka huo
Upepo, au anuse harufu yake. (Mkweli Mwaminifu,
Juzuu ya 1-2, Hadithi Na. 74)

Hapa sasa ndipo sehemu hatari zaidi afadhali puani, kwenye matako Mmmmmh! na wale wavaaji wa Misuli au Vikoi, ndio ambao hufaidi sana upepo wa shetani matakoni mwao. Ukimwambia muislamu juu ya kupulizwa kwake matakoni na shetani anakuwa mkali mithiri ya MBOGO, kwa sababu tu mambo hayo ni siri ya Uislamu.
Ndiyo Maana Muhammad akasema.

MWENYE KUACHA UISLAMU AUAWE

Kwa nini auawe? asitoe siri zile nje...

Ibn Umar (r.a) amesimulia kuwa:Mtume (s.a.w) amesema,"Mwenye Kulitadi (atakayetoka kwenye Uislamu) basi muueni."
(Bulugh Al Maram, hadithi no.1031,uk.461)

5. MUHAMMAD KUOA KATOTO KA MIAKA SITA,
YEYE AKIWA NA MIAKA 54.

"Kisha alimuoa Aisha bint Abubakar Assidiq Mwaka
2.A.H na huyu ndiye mke bikira pekee aliyemuoa
Mtume (s.a.w) alimuoa Makka, naye ni mschana
wa Miaka sita tu, akamwingilia Nyumbani Madina
akiwa na Miaka tisa. (Kitabu Cha Historia ya
Mtume, Uk. 158)

Ki ukweli hili nalo ni miongoni mwa mambo mazito yahusuyo uislamu, kuoa mtoto wa miaka sita kwa mzee wa miaka 54 kwa sheria za Nchi, huu unaitwa ubakaji hata kama mtoto huyo amekubali kuolewa mwenyewe, kishrria wewe ni mbakaji, ndiyo maana Waislamu wanataka MAHAKAMA YA KADHI ishughulikie mirathi na mambo ya ndoa, kwa sababu wanataka warejeshe tabia yao ya kuoa vitoto vya miaka sita, na muoaji asishitakiwe kwenye mahakama za kawaida, bali aende kwa KADHI, Mtoto wa miaka tisa kuingiliwa, kilimfanya Aysha asizae maana aliharibiwa kizazi. We fikiria Muhammad alikuwa anawazungukia wakeze 9 Kila baada ya sala, Bibi Sawda alipozidiwa akamwambia Muhammad mimi sitaki kufanya ngono zamu yake yeye ya NGONO, akampa Aisha.... Kwa hivyo Mtoto wa miaka 9 Akawa anafanyishwa ngono mara mbili ya wake wenziwe, tena wenye umri mkubwa mara 4 kuliko yeye, katika umri wake mdogo huo. wenziwe wakipigwa bao 3 yeye anapigwa bao 6.

6. KUROGWA KWA MUHAMMAD.

Anasema Mwana Aisha Mkewe Mtume (r.a) Kuwa:
"Yahudi mmoja aitwaye Labiid bin Al'aanswam
alimroga Mtume (s.a.w) ikawa Mtume baadhi ya
Nyakati huchanganyikiwa akiita ovyo
ovyo." (Sahihi Muslim J. 4 Uk. 38-39)

Vuta picha uwatazame wale vichaa ambao wamerogwa ambavyo huwa wanafanya, kutembea uchi, kujinyea na hata kula mavi yao wenyewe, Nguo hawafui, Wachafu, wanaongea tu wenyewe, Hali hiyo ilete kwa Muhammad katika kipindi chake cha Wehu wa kurogwa, Ilikuwaje?
Mtume kweli wa MUNGU anaweza kurogwa?

TAFAKARI KISHA CHUKUA HATUA.

Yapo mengi sana, ila nimeonelea tu niyaweke haya sita.
EMBU JIULIZE, HIVI KAMA WANAOSILIMU
KUUFUATA UISLAMU, WANGEYAJUA HAYA
WANGETAMANI KUINGIA KWENYE UISLAMU?
Ndiyo maana Uislamu unapiganiwa kwa Ncha ya
Upanga.. Maana mengi ya humo yanatisha.
 
Back
Top Bottom