Wosia wangu kwa wasiokuwa Waislam

Wosia wangu kwa wasiokuwa Waislam

Wosia Wangu kwa Wasiokuwa Waislam kuingia katika Uislam

Ndugu zangu wapendwa,
Ninawaandikia kwa moyo wa upendo na kujali, nikitamani kheri kwenu duniani na Akhera. Katika maisha haya, kila mmoja wetu anatafuta ukweli, utulivu wa moyo, na maana halisi ya kuwepo kwake. Kwa unyenyekevu, napenda kuwashirikisha kwamba nimeuona Uislam kuwa njia sahihi ya kumjua Muumba na kuishi maisha yenye mwongozo kamili.

Uislam unatufundisha kumwabudu Mwenyezi Mungu mmoja tu, bila mshirika, na kufuata mafundisho ya Mtume Muhammad (rehema na amani ziwe juu yake). Ndani yake kuna mfumo wa maisha unaogusa kila upande wa mwanadamu—kuanzia maadili, haki, familia, hadi jamii kwa ujumla.

Faida za kuwa Muislam duniani:
Utulivu wa moyo:
1. Kumtegemea Mwenyezi Mungu huondoa wasiwasi na hofu zisizo na msingi.

2. Maadili bora: Uislam unajenga tabia njema kama uaminifu, huruma, na uvumilivu.
3. Nidhamu ya maisha: Ibada kama swala na saumu hujenga ratiba na kujitawala.
4. Haki na usawa: Unafundisha kuheshimu haki za watu wote bila ubaguzi.
5. Jamii imara: Hukuza mshikamano, kusaidiana, na upendo miongoni mwa watu.

Faida za kuwa Muislam Akhera:

1.Msamaha wa dhambi: Mwenyezi Mungu husamehe waliotubu kwa dhati.
2. Amani ya milele: Kuokoka na adhabu na kupata maisha ya milele yenye furaha.
3. Pepo (Jannah): Ahadi ya malipo makubwa kwa wenye kumtii Mwenyezi Mungu.
4. Radhi za Mwenyezi Mungu: Hili ndilo lengo kubwa zaidi kwa muumini.

Ninawasihi:
Chunguzeni Uislam kwa moyo wa haki na bila upendeleo
Somani Qur’an kwa tafakari ya kina
Ulizeni maswali na tafuteni elimu kutoka kwa wanaojua
Msikubali kuhukumu bila kujua, wala kufuata mitazamo ya watu bila uthibitisho. Ukweli unahitaji juhudi ya kuutafuta.
Kumbukeni, kuingia katika Uislam si kupoteza kitu, bali ni kupata mwongozo, utulivu wa moyo, na uhusiano wa moja kwa moja na Muumba wako. Ni mwanzo mpya wa maisha yenye matumaini na nuru.
Ninamuomba Mwenyezi Mungu awaongoze kwenye haki na awaonyeshe njia iliyo sahihi.
Amin.
1)Kwa mujibu wa mudi boy uchawi ulianza kipindi cha mfalme selemani ...je ni kweli au la ?
2)Muhammad anasema alikuwa anafuata mila za Ibrahim kabla ya yeye kupewa utume ? Je Muhammad alikuwa anakula nguruwe maana sheria ya kuzuia nguruwe kuliwa ilikuja kipindi cha musa miaka mingi sana mbele ya Ibrahim...wakati wa Ibrahim nguruwe alikuwa siyo haramu kuliwa . adriz FaizaFoxy Bwana Utam Al-mukheef Covax OHB11 Jagina Malaria 2
 
ukimuona Mkiristo anaandika hivi anachuki na uislam
 
What has that got to do with the price of tea in China?

Kujifinya kunathibitisha vipi Allah yupo?

Thibitisha Allah yupo, acha longolongo.
Polepole Mkuu

ndo nataka nikuthibitishie sasa mbona unanitoa mchezoni twende hatua kwa hatua
 
Twende polepole.

Kwanza kabisa kuthibitisha ni nini?

Utajuaje hapa nimethibitisha kweli, na sio kwamba sijathibitisha ila nafikiri tu kwamba nimethibitisha?
 
Kweli Africa ni Bara la Giza.

Tatizo kubwa la waislamu wa Tanzania ni kupenda unafiki na kutokukubali kuwajibika.

Mosi, kama ni kweli ninyi mngekuwa ni waaminifu basi nadhani hili taifa lingekuwa pazuri sana maana mko wengi sehemu nyeti. Ila unaweza kukuta jitu lina SIGDA usoni lakini ni jambazi kubwa la mali za ummah na lina historia ya ubadhilifu. Wakati JPM analalamika kuhusu NSSF kuchezewa, pale palikuwa na jitu linaitwa Ramadhani Dau, lina SIGDA usoni lakini lina historia chafu ya matumizi mabaya ya ofisi.

Pili, huu ujinga wa kupenda kusema dini yetu ni waaminifu na watu wema kuliko dini fulani, ni ujinga ambao utauona kwa Wakatoliki na Waislamu wa Tanzania ambao hawapendi kuwajibika, wanafiki na wasiopenda ukweli. Watanzania mbali na hizi dini za mashua, ni watu ambao tunapenda kuendesha maisha yetu kiholela, kimazoea na kuswahili-swahili tu. Bora liende tu. Hata hizo dini unazozitaja hapa hazijaweza kuwasaidia watanzania zaidi ya kuwaongezea mzigo na utumwa wa kifikra usioa na mantiki.

Sisi watanzania mbali na dini hizi (Ukatoliki na Uislamu) tuna utamaduni wa kuhusudu Ujinga-Ujinga, kutokuwajibika na kupenda mazoea. Kiukweli mpaka sasa sijaona kama dini imemuokoa mtanzania kwa kiwango ambacho Mapadre na Maskeikh wanapenda kupiga propaganda.

Tatu, waislamu wa Tanzania hampendi shule na mmekuwa watu ambao mnayachukia maarifa. Hili lipo sana kwenye dhehebu la Wasuni. Ninyi na shule ni maji na mafuta. Halafu mkikaa kwenye mihadhara yenu kazi ni kulaumu Nyerere na Mfumo Kristo. Sijawahi kuona waislamu wanachangishana hata fedha kiwango fulani ili wajenge chuo, shule, benki au soko. Ila kwenye kudai mahakama ya kadhi, punguzo la kodi kwenye tende, viazi na harua hamjambo. Mikoa ya Pwani yenye waislamu wengi ndiyo inaongoza kwa kufelisha watoto. Wanapenda Unyago na Vigodoro. Kwanini hata hamstuki lakini ???

Wakatoliki pamoja na kuwa wanafiki na wenye akili za kitumwa, walichukua nafasi kuanzisha vyuo vyao. Nakumbuka mbali na kupewa vyuo na kina Mkapa na Magufuli, walipitisha mchango makanisa yote Tanzania ambao kila Mkatoliki alichangia TSh 200. Sijawahi kuona kitu kama hiki kwa waislamu ila kwenye kulalamika ndiyo washika bendera wakubwa.

Nne, waislamu kama wazelote wa dini nyingine wanapenda unafiki mno. Hulazimisha watu wengine kufanya mambo yao na kutaka kuonekana wasafi mbela za ummah (Collectively), lakini tabia chafu wengi wanazo hadi inatia kichefuchefu. Mikoa ambayo imejaa waislamu kuna uhalifu mwingi na kukosa maadili kama mikoa ambayo wamejaa wakristo. Zanzibari ilishawahi kufanyika tafiti wakakuta kiwango cha unajisi watoto Madrasa kutoka kwa hawa masheikh ni kikubwa cha kutisha hadi wakalalama ripoti ikafichwa. Hayo ya Mapadri kuwa mashoga na kunajisi watoto au kunajisiwa wenyewe hata kwa waislamu lipo sana tu.

Binafsi naamini kufunguka fikra (Enlightenment) ni jambo binafsi ambalo linahusiana na mtu na mola wake tu, siyo mwamvuli wa dini. Watanganyika mkiendelea kuamimi kwamba sijui Ukristo au Uislamu ndivyo vitawaletea maendeleo basi mtachelewa sana na wazungu watarudi kuwatawala.
​
Hii paragraph ya mwisho nimekuwa nikiwaeleza watu wa karibu sana. Huwa najiuliza hii michango ya miradi ya kanisa inamsaidiaje muumini? Mfano; mradi wa kujenga shule ya kanisa unamsaidiaje mchangiaji/muumini kama michango yote bado ipo palepale?
 
ukimuona Mkiristo anaandika hivi anachuki na uislam
Je wale waliosema ...kichaa wa Zanzibar ni bora zaidi ya mashekh wa bara na nguruwe wa Zanzibar ni bora kuliko waumini waislamu wa bara 😇 je hao hawana chuki na waislamu wenzao ..
 
Wosia Wangu kwa Wasiokuwa Waislam kuingia katika Uislam

Ndugu zangu wapendwa,
Ninawaandikia kwa moyo wa upendo na kujali, nikitamani kheri kwenu duniani na Akhera. Katika maisha haya, kila mmoja wetu anatafuta ukweli, utulivu wa moyo, na maana halisi ya kuwepo kwake. Kwa unyenyekevu, napenda kuwashirikisha kwamba nimeuona Uislam kuwa njia sahihi ya kumjua Muumba na kuishi maisha yenye mwongozo kamili.

Uislam unatufundisha kumwabudu Mwenyezi Mungu mmoja tu, bila mshirika, na kufuata mafundisho ya Mtume Muhammad (rehema na amani ziwe juu yake). Ndani yake kuna mfumo wa maisha unaogusa kila upande wa mwanadamu—kuanzia maadili, haki, familia, hadi jamii kwa ujumla.

Faida za kuwa Muislam duniani:
Utulivu wa moyo:
1. Kumtegemea Mwenyezi Mungu huondoa wasiwasi na hofu zisizo na msingi.

2. Maadili bora: Uislam unajenga tabia njema kama uaminifu, huruma, na uvumilivu.
3. Nidhamu ya maisha: Ibada kama swala na saumu hujenga ratiba na kujitawala.
4. Haki na usawa: Unafundisha kuheshimu haki za watu wote bila ubaguzi.
5. Jamii imara: Hukuza mshikamano, kusaidiana, na upendo miongoni mwa watu.

Faida za kuwa Muislam Akhera:

1.Msamaha wa dhambi: Mwenyezi Mungu husamehe waliotubu kwa dhati.
2. Amani ya milele: Kuokoka na adhabu na kupata maisha ya milele yenye furaha.
3. Pepo (Jannah): Ahadi ya malipo makubwa kwa wenye kumtii Mwenyezi Mungu.
4. Radhi za Mwenyezi Mungu: Hili ndilo lengo kubwa zaidi kwa muumini.

Ninawasihi:
Chunguzeni Uislam kwa moyo wa haki na bila upendeleo
Somani Qur’an kwa tafakari ya kina
Ulizeni maswali na tafuteni elimu kutoka kwa wanaojua
Msikubali kuhukumu bila kujua, wala kufuata mitazamo ya watu bila uthibitisho. Ukweli unahitaji juhudi ya kuutafuta.
Kumbukeni, kuingia katika Uislam si kupoteza kitu, bali ni kupata mwongozo, utulivu wa moyo, na uhusiano wa moja kwa moja na Muumba wako. Ni mwanzo mpya wa maisha yenye matumaini na nuru.
Ninamuomba Mwenyezi Mungu awaongoze kwenye haki na awaonyeshe njia iliyo sahihi.
Amin.
Mtume huyu huyu aliye_ viti___0mba vitoto vya miaka 9?
 
Jagina Adiosamigo

adriz de mbusii
 
Sisi tumemuamini yeye alikufa na kufufuka ndio katuthibitishia yeye ni niia ya kweli na uzima. Njia ni YESU KRISTO nakushauri kuwa wakristo.
Hahahahahaaaaaa Daaaah. Naona unamsifia mumeo
 
😆😆😅🤣😂😅🤣😂😂😂👇🏿👇🏿👇🏿👇🏿

Ritz kahtaan Jagina

adriz de mbusii
 
Wosia Wangu kwa Wasiokuwa Waislam kuingia katika Uislam

Ndugu zangu wapendwa,
Ninawaandikia kwa moyo wa upendo na kujali, nikitamani kheri kwenu duniani na Akhera. Katika maisha haya, kila mmoja wetu anatafuta ukweli, utulivu wa moyo, na maana halisi ya kuwepo kwake. Kwa unyenyekevu, napenda kuwashirikisha kwamba nimeuona Uislam kuwa njia sahihi ya kumjua Muumba na kuishi maisha yenye mwongozo kamili.

Uislam unatufundisha kumwabudu Mwenyezi Mungu mmoja tu, bila mshirika, na kufuata mafundisho ya Mtume Muhammad (rehema na amani ziwe juu yake). Ndani yake kuna mfumo wa maisha unaogusa kila upande wa mwanadamu—kuanzia maadili, haki, familia, hadi jamii kwa ujumla.

Faida za kuwa Muislam duniani:
Utulivu wa moyo:
1. Kumtegemea Mwenyezi Mungu huondoa wasiwasi na hofu zisizo na msingi.

2. Maadili bora: Uislam unajenga tabia njema kama uaminifu, huruma, na uvumilivu.
3. Nidhamu ya maisha: Ibada kama swala na saumu hujenga ratiba na kujitawala.
4. Haki na usawa: Unafundisha kuheshimu haki za watu wote bila ubaguzi.
5. Jamii imara: Hukuza mshikamano, kusaidiana, na upendo miongoni mwa watu.

Faida za kuwa Muislam Akhera:

1.Msamaha wa dhambi: Mwenyezi Mungu husamehe waliotubu kwa dhati.
2. Amani ya milele: Kuokoka na adhabu na kupata maisha ya milele yenye furaha.
3. Pepo (Jannah): Ahadi ya malipo makubwa kwa wenye kumtii Mwenyezi Mungu.
4. Radhi za Mwenyezi Mungu: Hili ndilo lengo kubwa zaidi kwa muumini.

Ninawasihi:
Chunguzeni Uislam kwa moyo wa haki na bila upendeleo
Somani Qur’an kwa tafakari ya kina
Ulizeni maswali na tafuteni elimu kutoka kwa wanaojua
Msikubali kuhukumu bila kujua, wala kufuata mitazamo ya watu bila uthibitisho. Ukweli unahitaji juhudi ya kuutafuta.
Kumbukeni, kuingia katika Uislam si kupoteza kitu, bali ni kupata mwongozo, utulivu wa moyo, na uhusiano wa moja kwa moja na Muumba wako. Ni mwanzo mpya wa maisha yenye matumaini na nuru.
Ninamuomba Mwenyezi Mungu awaongoze kwenye haki na awaonyeshe njia iliyo sahihi.
Amin.
Toka lini wewe ukawa na upendo kwa wasio waislam?
 
Back
Top Bottom