Wosia wangu kwa wasiokuwa Waislam

Hamisi.
Hamisi eeeh tunakuheshimu Braza.
Ijumaa usitutafute ubaya.
 
Nitafutie mabinti mabikira wawili wazuri wa Kiarabu wa kuoa ili nihamie faster. Hii kwa Kidhungu inafahamika kama win-win situation. Kinyume na hapo, hujanishawishi.
 
Wapelekee CCM wanapaswa kutambua kuwa Mungu yupo na kuna siku tutahukumiwa kwa yale tuliyotenda hapa duniani
 
Sasa kama watu walikuwa wanajua mema na mabaya hata kabla ya ujio wa dini za Ukristo na Uislamu hizi dini zilikuja kuongeza nini cha tofauti?!
 
Akikujibu ni Tag japo mwenyewe nimeweka hoja yangu sijajibiwq
 
Ungeweka mifano kwamba Nchi za Kiislamu kama Afghanistan na Iran zina manufaa Gani kwa Binadamu wa Leo:
Maana matunda yake yanaanza hapahapa duniani:
Huwezi kudanganya watu eti manufaa yake yatapatikana Huko Ahera kwenu tu:
Mataifa yaliyo endelea ndio yanafuata Dini sahihi?
 
"Soma quaran 19:1"

Ukinieleza maana ya huo mstari nasilimu sasaiv na kuitwa said kerato momba.
 
Waislam wa TZ, Allah wenu ni Samia.

Mnaabudu PESA na WANASIASA wenye MADARAKA.
 
Uislam ni dini kama dini zingine nothing special, so only word i have right now is to fuk off, nchi iko bize na serious issues
 
Umesahau ukifa utapewa mabikra 70..... Point muhimu sana
 
Na mimi ninawaandikia kwa upendo mkuu ndugu zangu waislamu ninaowapenda sana ukweli ni kuwa pasipo kumwamini Yesu Kristo na kumpokea moyoni mwako ili aweze kukusamehe dhambi zako hakuna atakayetoboa kuingia Mbinguni. Hata ukijiita mkiristo kama ujampokea Yesu Kristo hata wewe mwenzangu huwezi kuingia Mbinguni. Shetani ndiye mungu wa dubia hii na anawapoteza wengi.
1. Yesu Kristo ndiye njia na kweli na uzima. (Yohana 14:6)
2. Msiponiamini mimi (Yesu) Mtakufa katika dhambi zenu (Kwa hiyo nimewaambia kuwa mtakufa katika dhambi zenu. Kwa maana msipoamini ya kwamba ‘Mimi Ndiye
3. Kwa maana mshahara wa dhambi ni mauti, bali karama ya Mungu ni uzima wa milele katika Kristo Yesu Bwana wetu. (Warumi 6:23)

Mwisho ni kwamba kwa heshima na upendo ndugu zangu waislamu na wakristo, kama unataka kwenda Mbinguni hakuna njia nyingine pasipo kumwamini Yesu Kristo. Yeye alikuja kuwaokoa wanadamu wote na dhambi zao na sharti ni moja tu ni kumwamni ya kwamba alikufa na kufufuka na alimwaga damu yake kwa ondoleo la dhambi. Na utatakiwa kutubu na kuziacha njia zako mbaya.
 
Nisaidie tu jambo moja na hakik a nitafuata unachiamini. Wale chinjachinja. Wanaojilipua, wanaoita wenzao kafir. Wasioweza kula nyama isiyochinjwa na asiye muislam, wale ni wa wapi? Ni waislam nao?
 
Mkuu Malaria 2 shusha suruali nikudunge Artesunate inj.
 
Uislam huu ambao huwa mnasema ulianzishwa na Roman Catholic?
Maana yake hao ndio waanzilishi wa hayo mambo wakamfundisha Muhammad au siyo?

Hayo mambo ya kuoa mwanamke mdogo nayo si ndo sawa na mungu wako alivyozaliwa kama bastard nje ya ndoa ya binti wa miaka 12 kuchepuka nje ya ndoa yake na mzee wa miaka 80?
 
Jifinye mkono wako wa kushoto halafu niambie umehisi nini?
What has that got to do with the price of tea in China?

Kujifinya kunathibitisha vipi Allah yupo?

Thibitisha Allah yupo, acha longolongo.
 
KWenye haya uliyoinena, kama kuna dini ya hivyo, 200% hiyo itakuwa ni dini ya Ibilisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…