Wosia wangu wa mwisho

Hivi Tanzania hatuna suicide hotline wakapigiwa na kujaribu kutoa msaada kwa huyu ndugu kama kweli yuko siriazi?

Kwa wenzetu huko ukiona maji yamekufika shingoni unaweza kupiga hotline yao na ukaongea na washauri nasaha moja kwa moja ambao wanaweza hata kutuma wataalamu wakaja kukuchukua ukapelekwa sehemu ili kupata msaada zaidi.

Pengine Jamii Forums wanaweza kumsaidia huyu ndugu maana tangu asubuhi analalamika anataka kujiua. Yawezekana kweli akawa siriazi.

Kama JF wanaweza kuona IP address yake, wanaweza pengine ku-pin point mahali alipo kama makombora ya Israeli wakatuma watu wakaenda kumsaidia huyu ndugu. Life is too precious jamani na huyu mtu analia anataka msaada tangu asubuhi.

Mungu na Amsaidie.
 
Kiongozi hata mimi nishawahi kupitia Kama wewe na kuwaza ulichowaza,wewe japo me nilipendelea kitanzi
Ila swali niliojiuliza...je kujiua ndio itakuwa suluhisho ya niliyoyapitia,na je nafsi yangu baada ya kujiua ndiyo itakua na amani
Maswali yote nikaona ni hapana,nikaamua kutafuta msaada wa kujinasua kutoka kwa watu wangu wa karibu wenye upendo na mimi
Ninachokuomba ongea na mtu wa karibu na Kama ukikosa kubali kuongea hata na member wa jf walio tayari kuja dm kwaajili ya kukusaidia
Usifanye Hivyo kiongozi
 
Ungeweka
Jina lako halisi huwenda watu karibu yako waliomo humu wangekufahamu na wangezungumza nawe pengine ungepata wepesi katika magumu unayopitia
 
Mkuu mambo yalikua magumu sana....
Yaani wee acha nilikua anaona kupumzika ni kufa tuu sina option nyingine...



Ukiogopa kuteseka ndo MTU huwa unateseka Sana .


MTU unabidi kuwa tayari kuteseka na sio kuogopa kuteseka.

Hii hali ndo inawatesa watu wengi Sana na kutamani kujiua -watu wanaogopa kuteseka.

In life kuna three phase
 
Hii ni depression unaona Dunia na ulimwengu umekukataa ilishanipata, sitasahau
 
Jamani ni nmesikitika sana
Sema jf ndio hivyo hatujuani
 
Ndugu unapitia wakati mgumu kama wangu nafkiria mawazo kama yako leo nina sku kama ya 4 sjara kitu zaidi ya maji na juisi pombe imekua kama mfariji hla nahsi ndo napotea zaidi kazni nimeacha kwenda na sku ya tano na kwa taratibu nahisi nimeshajifukuzisha
 
Ukiogopa kuteseka ndo MTU huwa unateseka Sana .


MTU unabidi kuwa tayari kuteseka na sio kuogopa kuteseka.

Hii hali ndo inawatesa watu wengi Sana na kutamani kujiua -watu wanaogopa kuteseka.

In life kuna three phase
Ndio zipi hizo phase mkuu.....?

Alafu mkuu ile hali inapokuja sio kwamba unakua timamu aisee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…