Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 182,097
- 1,099,383
Hivi Tanzania hatuna suicide hotline wakapigiwa na kujaribu kutoa msaada kwa huyu ndugu kama kweli yuko siriazi?
Kwa wenzetu huko ukiona maji yamekufika shingoni unaweza kupiga hotline yao na ukaongea na washauri nasaha moja kwa moja ambao wanaweza hata kutuma wataalamu wakaja kukuchukua ukapelekwa sehemu ili kupata msaada zaidi.
Pengine Jamii Forums wanaweza kumsaidia huyu ndugu maana tangu asubuhi analalamika anataka kujiua. Yawezekana kweli akawa siriazi.
Kama JF wanaweza kuona IP address yake, wanaweza pengine ku-pin point mahali alipo kama makombora ya Israeli wakatuma watu wakaenda kumsaidia huyu ndugu. Life is too precious jamani na huyu mtu analia anataka msaada tangu asubuhi.
Mungu na Amsaidie.