Wosia wangu wa mwisho

Mods mnaedit sana nyuzi za watu bila sababu za msingi. Leo asubuhi huu uzi ulikuwa unatoa lawama kwenu ila mshaedit na kukiondoa kile kipande. Melo kaajiri watu walookosa weledi kabisa wa kazi. Huyu bwana inaonekana anahitaji msaada toka muda ila mkabadilisha uzi wake.
 
Nawe usitutishe, fichua ID yako na sehemu ulipo tuje kula Ubwabwa hapo kwenu na sio kila siku ni nyuzi zako tu za kutishia kujiua.
 
Kisa utenguzi**wa **uteuzi au Kuna kingine?
 
Wanakosea tena kuruhusu nyuzi zake. Inatakiwa wawe wanazifuta kabisa. Mtu anayetaka kujiua hatishii kila saa kujiua. Mwambie afichue utambulisho wake tukale ubwabwa kwenye msiba wake.
 
Umekuja kuwa enjoy watu???
 
Mkuu awali ya yote nikupe pole kwa unayopitia lakini hayo unayopitia ni ya kitambo kidogo sana.

Naombe usijiue maana hata huko uendako bado utahukumiwa kwa dhambi ya kujiua.

Hebu weka sababu za kujiua na unapitia changamoto zipi na namba ya simu.

Alafu jamani maadimin tujitahidi kuwa wavumilivu maana sio Kila thread ya mtu mnafuta.
 
Shida ni nini ? Uchumi au ? Pole, badala ya Kutafuta namna ya kujiua kwanini usitafute namna ya kuchomoka kwenye hiyo Changamoto unayopitia ?
 
𝑴𝒐𝒅 𝒏𝒊 𝒘𝒂 𝒉𝒐𝒗𝒚𝒐 𝒉𝒂𝒘𝒂
 
Dah.!! Unapitia magumu gani ya kukufanya uchukue maamuzi mabaya km hayo??
 
 

Attachments

  • 0A8EB877-F934-436B-B4AB-5899D4AA193F.jpeg
    49.4 KB · Views: 4
Mkuu sijui unachopitia ila maamuzi unayochukua si sahihi kabisa… Wakati mwingine ni neema kupitia magumu ili uje uwe mfano na daraja kwa wengine. Jaribu kuangalia great people wote wana historia ngumu.
 
Ukishafariki uache voice note mkuu,tuitumie kama sound track ya JF. Otherwise nikutakie pumziko la raha
 


One word, nimekuwa hapo, Nataka nikueleze mda na dua unatibu Jambo lolote gumu
 
KaZi unayo shida nn? Umeachwa au?
 
Dunia Tambala bovu sote tutakufa kama unaona hiyo ni njia sahihi kila la kheri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…