Wosia wangu wa mwisho

Wosia wangu wa mwisho

Mods mnaedit sana nyuzi za watu bila sababu za msingi. Leo asubuhi huu uzi ulikuwa unatoa lawama kwenu ila mshaedit na kukiondoa kile kipande. Melo kaajiri watu walookosa weledi kabisa wa kazi. Huyu bwana inaonekana anahitaji msaada toka muda ila mkabadilisha uzi wake.
 
Wapendwa,

Ninajua kwamba maneno haya yanaweza kuwa magumu kusoma, lakini naomba myakubali kama sehemu ya safari yangu. Nimejaribu kwa muda mrefu kupambana na mawimbi ya huzuni na maumivu ambayo yamekuwa yakinizonga. Nimepata wakati mgumu sana kuelezea hisia zangu, na hata sasa, si rahisi.

Nawapenda nyote kwa dhati, na ninaomba msichukulie hatua yangu kama ishara ya udhaifu au kutojali. Ni ngumu kuelezea jinsi gani nimejaribu, lakini naomba mjue kuwa ninyi nyote mmekuwa nuru katika giza langu. Nimekuwa na matumaini kuwa siku moja mambo yatakuwa bora, lakini nimefikia mwisho wa nguvu zangu.

Nawashukuru kwa upendo, msaada, na furaha mlizonipa. Tafadhali kumbukeni nyakati nzuri na msimamo wangu wa mapenzi kwenu. Nawaomba msihisi lawama yoyote, kwa sababu hamna kosa. Maumivu yangu yamekuwa mzigo wangu wa kibinafsi, na nimefanya maamuzi haya baada ya kufikiria sana.

Mods na members wote muwe na amani, na mnaweza kujua kwamba sasa nimepata utulivu huko ninakokwenda.

Kwa upendo wa milele,

-February Marope.
Nawe usitutishe, fichua ID yako na sehemu ulipo tuje kula Ubwabwa hapo kwenu na sio kila siku ni nyuzi zako tu za kutishia kujiua.
 
Kisa utenguzi**wa **uteuzi au Kuna kingine?
 
Mods mnaedit sana nyuzi za watu bila sababu za msingi. Leo asubuhi huu uzi ulikuwa unatoa lawama kwenu ila mshaedit na kukiondoa kile kipande. Melo kaajiri watu walookosa weledi kabisa wa kazi. Huyu bwana inaonekana anahitaji msaada toka muda ila mkabadilisha uzi wake.
Wanakosea tena kuruhusu nyuzi zake. Inatakiwa wawe wanazifuta kabisa. Mtu anayetaka kujiua hatishii kila saa kujiua. Mwambie afichue utambulisho wake tukale ubwabwa kwenye msiba wake.
 
Wapendwa,

Ninajua kwamba maneno haya yanaweza kuwa magumu kusoma, lakini naomba myakubali kama sehemu ya safari yangu. Nimejaribu kwa muda mrefu kupambana na mawimbi ya huzuni na maumivu ambayo yamekuwa yakinizonga. Nimepata wakati mgumu sana kuelezea hisia zangu, na hata sasa, si rahisi.

Nawapenda nyote kwa dhati, na ninaomba msichukulie hatua yangu kama ishara ya udhaifu au kutojali. Ni ngumu kuelezea jinsi gani nimejaribu, lakini naomba mjue kuwa ninyi nyote mmekuwa nuru katika giza langu. Nimekuwa na matumaini kuwa siku moja mambo yatakuwa bora, lakini nimefikia mwisho wa nguvu zangu.

Nawashukuru kwa upendo, msaada, na furaha mlizonipa. Tafadhali kumbukeni nyakati nzuri na msimamo wangu wa mapenzi kwenu. Nawaomba msihisi lawama yoyote, kwa sababu hamna kosa. Maumivu yangu yamekuwa mzigo wangu wa kibinafsi, na nimefanya maamuzi haya baada ya kufikiria sana.

Mods na members wote muwe na amani, na mnaweza kujua kwamba sasa nimepata utulivu huko ninakokwenda.

Kwa upendo wa milele,

-February Marope.
Umekuja kuwa enjoy watu???
 
Mkuu awali ya yote nikupe pole kwa unayopitia lakini hayo unayopitia ni ya kitambo kidogo sana.

Naombe usijiue maana hata huko uendako bado utahukumiwa kwa dhambi ya kujiua.

Hebu weka sababu za kujiua na unapitia changamoto zipi na namba ya simu.

Alafu jamani maadimin tujitahidi kuwa wavumilivu maana sio Kila thread ya mtu mnafuta.
 
Ndugu unapitia wakati mgumu kama wangu nafkiria mawazo kama yako leo nina sku kama ya 4 sjara kitu zaidi ya maji na juisi pombe imekua kama mfariji hla nahsi ndo napotea zaidi kazni nimeacha kwenda na sku ya tano na kwa taratibu nahisi nimeshajifukuzisha
Shida ni nini ? Uchumi au ? Pole, badala ya Kutafuta namna ya kujiua kwanini usitafute namna ya kuchomoka kwenye hiyo Changamoto unayopitia ?
 
Mods mnaedit sana nyuzi za watu bila sababu za msingi. Leo asubuhi huu uzi ulikuwa unatoa lawama kwenu ila mshaedit na kukiondoa kile kipande. Melo kaajiri watu walookosa weledi kabisa wa kazi. Huyu bwana inaonekana anahitaji msaada toka muda ila mkabadilisha uzi wak
𝑴𝒐𝒅 𝒏𝒊 𝒘𝒂 𝒉𝒐𝒗𝒚𝒐 𝒉𝒂𝒘𝒂
 
Dah.!! Unapitia magumu gani ya kukufanya uchukue maamuzi mabaya km hayo??
 
Wapendwa,

Ninajua kwamba maneno haya yanaweza kuwa magumu kusoma, lakini naomba myakubali kama sehemu ya safari yangu. Nimejaribu kwa muda mrefu kupambana na mawimbi ya huzuni na maumivu ambayo yamekuwa yakinizonga. Nimepata wakati mgumu sana kuelezea hisia zangu, na hata sasa, si rahisi.

Nawapenda nyote kwa dhati, na ninaomba msichukulie hatua yangu kama ishara ya udhaifu au kutojali. Ni ngumu kuelezea jinsi gani nimejaribu, lakini naomba mjue kuwa ninyi nyote mmekuwa nuru katika giza langu. Nimekuwa na matumaini kuwa siku moja mambo yatakuwa bora, lakini nimefikia mwisho wa nguvu zangu.

Nawashukuru kwa upendo, msaada, na furaha mlizonipa. Tafadhali kumbukeni nyakati nzuri na msimamo wangu wa mapenzi kwenu. Nawaomba msihisi lawama yoyote, kwa sababu hamna kosa. Maumivu yangu yamekuwa mzigo wangu wa kibinafsi, na nimefanya maamuzi haya baada ya kufikiria sana.

Mods na members wote muwe na amani, na mnaweza kujua kwamba sasa nimepata utulivu huko ninakokwenda.

Kwa upendo wa milele,

-February Marope.
 
Attachments

  • 0A8EB877-F934-436B-B4AB-5899D4AA193F.jpeg
    0A8EB877-F934-436B-B4AB-5899D4AA193F.jpeg
    49.4 KB · Views: 4
Wapendwa,

Ninajua kwamba maneno haya yanaweza kuwa magumu kusoma, lakini naomba myakubali kama sehemu ya safari yangu. Nimejaribu kwa muda mrefu kupambana na mawimbi ya huzuni na maumivu ambayo yamekuwa yakinizonga. Nimepata wakati mgumu sana kuelezea hisia zangu, na hata sasa, si rahisi.

Nawapenda nyote kwa dhati, na ninaomba msichukulie hatua yangu kama ishara ya udhaifu au kutojali. Ni ngumu kuelezea jinsi gani nimejaribu, lakini naomba mjue kuwa ninyi nyote mmekuwa nuru katika giza langu. Nimekuwa na matumaini kuwa siku moja mambo yatakuwa bora, lakini nimefikia mwisho wa nguvu zangu.

Nawashukuru kwa upendo, msaada, na furaha mlizonipa. Tafadhali kumbukeni nyakati nzuri na msimamo wangu wa mapenzi kwenu. Nawaomba msihisi lawama yoyote, kwa sababu hamna kosa. Maumivu yangu yamekuwa mzigo wangu wa kibinafsi, na nimefanya maamuzi haya baada ya kufikiria sana.

Mods na members wote muwe na amani, na mnaweza kujua kwamba sasa nimepata utulivu huko ninakokwenda.

Kwa upendo wa milele,

-February Marope.
Mkuu sijui unachopitia ila maamuzi unayochukua si sahihi kabisa… Wakati mwingine ni neema kupitia magumu ili uje uwe mfano na daraja kwa wengine. Jaribu kuangalia great people wote wana historia ngumu.
 
Wapendwa,

Ninajua kwamba maneno haya yanaweza kuwa magumu kusoma, lakini naomba myakubali kama sehemu ya safari yangu. Nimejaribu kwa muda mrefu kupambana na mawimbi ya huzuni na maumivu ambayo yamekuwa yakinizonga. Nimepata wakati mgumu sana kuelezea hisia zangu, na hata sasa, si rahisi.

Nawapenda nyote kwa dhati, na ninaomba msichukulie hatua yangu kama ishara ya udhaifu au kutojali. Ni ngumu kuelezea jinsi gani nimejaribu, lakini naomba mjue kuwa ninyi nyote mmekuwa nuru katika giza langu. Nimekuwa na matumaini kuwa siku moja mambo yatakuwa bora, lakini nimefikia mwisho wa nguvu zangu.

Nawashukuru kwa upendo, msaada, na furaha mlizonipa. Tafadhali kumbukeni nyakati nzuri na msimamo wangu wa mapenzi kwenu. Nawaomba msihisi lawama yoyote, kwa sababu hamna kosa. Maumivu yangu yamekuwa mzigo wangu wa kibinafsi, na nimefanya maamuzi haya baada ya kufikiria sana.

Mods na members wote muwe na amani, na mnaweza kujua kwamba sasa nimepata utulivu huko ninakokwenda.

Kwa upendo wa milele,

-February Marope.
Ukishafariki uache voice note mkuu,tuitumie kama sound track ya JF. Otherwise nikutakie pumziko la raha
 
Wapendwa,

Ninajua kwamba maneno haya yanaweza kuwa magumu kusoma, lakini naomba myakubali kama sehemu ya safari yangu. Nimejaribu kwa muda mrefu kupambana na mawimbi ya huzuni na maumivu ambayo yamekuwa yakinizonga. Nimepata wakati mgumu sana kuelezea hisia zangu, na hata sasa, si rahisi.

Nawapenda nyote kwa dhati, na ninaomba msichukulie hatua yangu kama ishara ya udhaifu au kutojali. Ni ngumu kuelezea jinsi gani nimejaribu, lakini naomba mjue kuwa ninyi nyote mmekuwa nuru katika giza langu. Nimekuwa na matumaini kuwa siku moja mambo yatakuwa bora, lakini nimefikia mwisho wa nguvu zangu.

Nawashukuru kwa upendo, msaada, na furaha mlizonipa. Tafadhali kumbukeni nyakati nzuri na msimamo wangu wa mapenzi kwenu. Nawaomba msihisi lawama yoyote, kwa sababu hamna kosa. Maumivu yangu yamekuwa mzigo wangu wa kibinafsi, na nimefanya maamuzi haya baada ya kufikiria sana.

Mods na members wote muwe na amani, na mnaweza kujua kwamba sasa nimepata utulivu huko ninakokwenda.

Kwa upendo wa milele,

-February Marope.

One word, nimekuwa hapo, Nataka nikueleze mda na dua unatibu Jambo lolote gumu
 
KaZi unayo shida nn? Umeachwa au?
Ndugu unapitia wakati mgumu kama wangu nafkiria mawazo kama yako leo nina sku kama ya 4 sjara kitu zaidi ya maji na juisi pombe imekua kama mfariji hla nahsi ndo napotea zaidi kazni nimeacha kwenda na sku ya tano na kwa taratibu nahisi nimeshajifukuzisha
 
Dunia Tambala bovu sote tutakufa kama unaona hiyo ni njia sahihi kila la kheri.
 
Back
Top Bottom