Wote tafadhali naomba mpite hapa

Wote tafadhali naomba mpite hapa

kinyaa

Senior Member
Joined
Jan 30, 2014
Posts
155
Reaction score
91
Habari zenu wana JF,

Nina mtaji wa sh. million moja please naomba idea ya biashara ninayoweza kufanya na huo mtaji wangu!

Nitashukuru mkinisaidia ,Asanteni
 
  • Thanks
Reactions: BIR
Kama uko sehemu yenye mkusanyiko mkubwa wa watu wanaofanya biashara tafuta kati ya M/T(pesa)kwa kuanzia wakati unaendelea na hilo mtaji utakuwa unakuwa nawe unaendelea kutazama fursa zingine.
 
Uza smart phone ongezea hela ufuge kuku wa kisasa--Kala Jeremiah
 
sikiliza kwa makini, NENDA KIJIJINI SAFISHA SHAMBA LA HEKA TANO (SIO LA KUNUNUA) WEKA VIJANA WAKUCHIMBIE MASHIMO 100 NA KUKUWEKEA MBOLEA YA SAMADI, HARAFU NENDA SUA - morogoro au DODOMA KANUNUE MICHE MIA MOJA YA EMBE ZA KISASA AMBAZO ZINAANZA KUZAA SANA BAADA YA MIAKA MITATU NA UNUNUE KUKU WA KIENYEJI UFUGE HUKU UKISUBIRIA MAEMBE YAANZE KUZAA KWA WINGI. NDANI YA MIAKA MITANO IJAYO UTAKUWA TAJIRI.
 
Kumbuka ana Milioni 1!
 
Duh huu ushauri ni sawa na kumnywesha sumu mgonjwa
 
sikiliza kwa makini, NENDA KIJIJINI SAFISHA SHAMBA LA HEKA TANO (SIO LA KUNUNUA) WEKA VIJANA WAKUCHIMBIE MASHIMO 100 NA KUKUWEKEA MBOLEA YA SAMADI, HARAFU NENDA SUA - morogoro au DODOMA KANUNUE MICHE MIA MOJA YA EMBE ZA KISASA AMBAZO ZINAANZA KUZAA SANA BAADA YA MIAKA MITATU NA UNUNUE KUKU WA KIENYEJI UFUGE HUKU UKISUBIRIA MAEMBE YAANZE KUZAA KWA WINGI. NDANI YA MIAKA MITANO IJAYO UTAKUWA TAJIRI.

Hiyo Miche ya SUA inahimili ukame?
 
Kama uko sehemu yenye mkusanyiko mkubwa wa watu wanaofanya biashara tafuta kati ya M/T(pesa)kwa kuanzia wakati unaendelea na hilo mtaji utakuwa unakuwa nawe unaendelea kutazama fursa zingine.

asante mkuu nitafanyia kazi ushauri wako
 
sikiliza kwa makini, NENDA KIJIJINI SAFISHA SHAMBA LA HEKA TANO (SIO LA KUNUNUA) WEKA VIJANA WAKUCHIMBIE MASHIMO 100 NA KUKUWEKEA MBOLEA YA SAMADI, HARAFU NENDA SUA - morogoro au DODOMA KANUNUE MICHE MIA MOJA YA EMBE ZA KISASA AMBAZO ZINAANZA KUZAA SANA BAADA YA MIAKA MITATU NA UNUNUE KUKU WA KIENYEJI UFUGE HUKU UKISUBIRIA MAEMBE YAANZE KUZAA KWA WINGI. NDANI YA MIAKA MITANO IJAYO UTAKUWA
TAJIRI.

asante ushauri wako mzr sana lkn shida hilo shamba ,asante lkn nikiwa na mtaji mkubwa zaidi nitafanyia kazi
 
ww umeshawai kufanya embu nieleweshe vzr inakuaje kind nimekua iterested

kwa kifupi kabisa bila usumbufu,tafuta wasafirishaji(mara nyingi fuso za kubeba mkaa wanakuwa na kibali),hao watakupa channel zote.shilingi huzaa shilingi kama upo dar.
 
sikiliza kwa makini, NENDA KIJIJINI SAFISHA SHAMBA LA HEKA TANO (SIO LA KUNUNUA) WEKA VIJANA WAKUCHIMBIE MASHIMO 100 NA KUKUWEKEA MBOLEA YA SAMADI, HARAFU NENDA SUA - morogoro au DODOMA KANUNUE MICHE MIA MOJA YA EMBE ZA KISASA AMBAZO ZINAANZA KUZAA SANA BAADA YA MIAKA MITATU NA UNUNUE KUKU WA KIENYEJI UFUGE HUKU UKISUBIRIA MAEMBE YAANZE KUZAA KWA WINGI. NDANI YA MIAKA MITANO IJAYO UTAKUWA TAJIRI.
Nimenunua hili wazo, ni zuri sana
 
asante ushauri wako mzr sana lkn shida hilo shamba ,asante lkn nikiwa na mtaji mkubwa zaidi nitafanyia kazi
wewe sikiliza vizuri, hiyo hela uliyonayo inatosha kabisa, tumia nguvu zako mwenyewe na utafute cheap labour kijijini, mche mmoja wa mwembe ni Tshs. 2000 mpaka 3000, shimo moja la mita moja kwenda chini ni Tshs. 200/=, shamba kuweka watu wakusafishie sio zaidi ya Tshs 200,000/= hebu piga hesabu kama hazitoshi, USIKATE TAMAA KABLA HUJAANZA, KUKATA TAMAA NI DHAMBI, NA KWA MWANAUME NI KOSA KUBWA SANA.
 
Back
Top Bottom