Wote tusome hapa halafu tutoe maoni kuhusu Madai na msimamo wa CHADEMA na wananchi wote

Arsenal Gunner

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
10,891
Reaction score
17,718
NO REFORM NO ELECTION

MADAI NA MSIMAMO WA CHADEMA NA WANANCHI WOTE

1. TUME HURU ISIYO CHINI YA RAIS/IKULU:
Tume ya sasa sio huru ipo chini ya Mwenyekiti wa CCM ambaye pia ni Mgombea Urais. Hii haikubaliki popote

2. MAKAMISHNA WA TUME WAPATIKANE KWA UWAZI:
Kwasasa wanateuliwa na Rais/Mwenyekiti wa CCM ambaye pia ni mgombea wa urais. Inatakiwa Wadau kama vyama vya siasa, Dini na Jamii kwa ujumla washirikishwe kwenye mchakato wote maana hili sio suala la CCM peke yake.

3. MAZINGIRA YA HAKI KWA VYAMA VYA SIASA VYOTE, HASA KATIKA KAMPENI:
Uhuru wa wagombea kushiriki kwenye kampeni bila kusumbuliwa na vyombo vya dola ambavyo mara zote hupendelea CCM waziwazi.

4. MATOKEO YA URAIS YAPINGWE MAHAKAMANI:

Kwasasa Tume imepewa Mamlaka ya kumtangaza mtu yeyote kwamba ni mshindi na wasihojiwe popote

5. USHIRIKISHWAJI KATIKA MCHAKATO WA UCHAGUZI:
Kwasasa maamuzi yote yanafanywa na Tume bila kumshirikisha mdau yeyote isipokuwa CCM kupitia Rais aliyewateua.Chadema inataka kushirikisha wadau wote katika maamuzi muhimu kama vile:
Ukaguzi wa daftari la wapigakura/kazi data ya wapiga kura iwekwe wazi Usambazaji wa vifaa vya uchaguzi Ugawaji wa majimbo ya uchaguzi n.k

6. UAJIRI WA WAFANYAKAZI WA NEC WENYE UTAALAMU NA BILA UPENDELEO KATIKA NGAZI ZOTE ZA UCHAGUZI:
Kwasasa Wafanyakazi wengi wa Tume wanapatikana kwa njia zisizo wazi na wengi wanaopewa nafasi hizo ni wanachama wa CCM.
 
Attachments

  • IMG_20250608_120353.jpg
    IMG_20250608_120353.jpg
    449.9 KB · Views: 29
Tume na watendaji wake wote ni mali ya ccm na boss wao ni mgombea wa ccm, hakuna namna tume itafanya kazi kwa ufanisi bila upendeleo.

No reforms no election.
 
Sidiemu iko na hoja nzito sana. Kila mtu analijua hilo.

Je, wataweza kusimama na hoja yao hadi mwisho?

Nchi zingine wangekuwa mgogoro wa kikatiba tuliyo nayo Tanzania, wangeandamana Januari hadi Desemba 24/7 kudai mabadiliko haraka iwezekanavyo.
 
Tusome hizi pointi halafu tutoe maoni No reform No election

MADAI NA MSIMAMO WA CHADEMA NA WANANCHI WOTE

1. TUME HURU ISIYO CHINI YA RAIS/IKULU:
Tume ya sasa sio huru ipo chini ya Mwenyekiti wa CCM ambaye pia ni Mgombea Urais. Hii haikubaliki popote

2. MAKAMISHNA WA TUME WAPATIKANE KWA UWAZI:
Kwasasa wanateuliwa na Rais/Mwenyekiti wa CCM ambaye pia ni mgombea wa urais. Inatakiwa Wadau kama vyama vya siasa, Dini na Jamii kwa ujumla washirikishwe kwenye mchakato wote maana hili sio suala la CCM peke yake.

3. MAZINGIRA YA HAKI KWA VYAMA VYA SIASA VYOTE, HASA KATIKA KAMPENI:
Uhuru wa wagombea kushiriki kwenye kampeni bila kusumbuliwa na vyombo vya dola ambavyo mara zote hupendelea CCM waziwazi.

4. MATOKEO YA URAIS YAPINGWE MAHAKAMANI:

Kwasasa Tume imepewa Mamlaka ya kumtangaza mtu yeyote kwamba ni mshindi na wasihojiwe popote

5. USHIRIKISHWAJI KATIKA MCHAKATO WA UCHAGUZI:
Kwasasa maamuzi yote yanafanywa na Tume bila kumshirikisha mdau yeyote isipokuwa CCM kupitia Rais aliyewateua.Chadema inataka kushirikisha wadau wote katika maamuzi muhimu kama vile:
Ukaguzi wa daftari la wapigakura/kazi data ya wapiga kura iwekwe wazi Usambazaji wa vifaa vya uchaguzi Ugawaji wa majimbo ya uchaguzi n.k

6. UAJIRI WA WAFANYAKAZI WA NEC WENYE UTAALAMU NA BILA UPENDELEO KATIKA NGAZI ZOTE ZA UCHAGUZI:
Kwasasa Wafanyakazi wengi wa Tume wanapatikana kwa njia zisizo wazi na wengi wanaopewa nafasi hizo ni wanachama wa CCM.
Wachumia tumbo, wauaji, watekaji na wafiraji hawawezi kuona umuhimu wa hii kampeni,
 
Sidiemu iko na hoja nzito sana. Kila mtu analijua hilo.

Je, wataweza kusimama na hoja yao hadi mwisho?

Nchi zingine wangekuwa mgogoro wa kikatiba tuliyo nayo Tanzania, wangeandamana Januari hadi Desemba 24/7 kudai mabadiliko haraka iwezekanavyo.
No reform No election
 
NRNE
 
wakati ACT walipoanza kampeni ya kudai tume huru Chadema kuanzia viongozi pamoja na wafuasi wakewaliwatukana na kuwakejeli huku wakisema huwezi kuwa na Tume hutu bila ya katiba mpya na kipaumbele chao ni katiba mpya, hivi sasa wamedandia gari kwa mbele halafu kila anaewakosoa anakula matusi, Jamaa ni watu wanaoshangaza sana
 
NO REFORM NO ELECTION

MADAI NA MSIMAMO WA CHADEMA NA WANANCHI WOTE

1. TUME HURU ISIYO CHINI YA RAIS/IKULU:
Tume ya sasa sio huru ipo chini ya Mwenyekiti wa CCM ambaye pia ni Mgombea Urais. Hii haikubaliki popote

2. MAKAMISHNA WA TUME WAPATIKANE KWA UWAZI:
Kwasasa wanateuliwa na Rais/Mwenyekiti wa CCM ambaye pia ni mgombea wa urais. Inatakiwa Wadau kama vyama vya siasa, Dini na Jamii kwa ujumla washirikishwe kwenye mchakato wote maana hili sio suala la CCM peke yake.

3. MAZINGIRA YA HAKI KWA VYAMA VYA SIASA VYOTE, HASA KATIKA KAMPENI:
Uhuru wa wagombea kushiriki kwenye kampeni bila kusumbuliwa na vyombo vya dola ambavyo mara zote hupendelea CCM waziwazi.

4. MATOKEO YA URAIS YAPINGWE MAHAKAMANI:

Kwasasa Tume imepewa Mamlaka ya kumtangaza mtu yeyote kwamba ni mshindi na wasihojiwe popote

5. USHIRIKISHWAJI KATIKA MCHAKATO WA UCHAGUZI:
Kwasasa maamuzi yote yanafanywa na Tume bila kumshirikisha mdau yeyote isipokuwa CCM kupitia Rais aliyewateua.Chadema inataka kushirikisha wadau wote katika maamuzi muhimu kama vile:
Ukaguzi wa daftari la wapigakura/kazi data ya wapiga kura iwekwe wazi Usambazaji wa vifaa vya uchaguzi Ugawaji wa majimbo ya uchaguzi n.k

6. UAJIRI WA WAFANYAKAZI WA NEC WENYE UTAALAMU NA BILA UPENDELEO KATIKA NGAZI ZOTE ZA UCHAGUZI:
Kwasasa Wafanyakazi wengi wa Tume wanapatikana kwa njia zisizo wazi na wengi wanaopewa nafasi hizo ni wanachama wa CCM.
Wananchi wote kivipi!?. Wengine hatumo kwenye hzo reform na election.

Wanasiasa wote wababaifu tu , wangekuwa wema tungeona mabadiliko makubwa kwenye majimbo Yao au mishahara Yao ya ubunge wangeitoa kwa asilimia kadhaa kwa maendeleo ya nchi Yao, mbona posho na marupurupu hawajakatai wanayakumbatia!?. Kazi kupigiana kelele tu.
 
No reform No election fanya kazi chadema haiongozi nchi hivyo maendeleo waulize ccm
 
Hoja zote za No Reforms No Election zinaeleweka
Hata kama wakiamua kuziba masikio lakini ujumbe umefika CCM haiwezi kushindana na majira
 
Sidiemu iko na hoja nzito sana. Kila mtu analijua hilo.

Je, wataweza kusimama na hoja yao hadi mwisho?

Nchi zingine wangekuwa mgogoro wa kikatiba tuliyo nayo Tanzania, wangeandamana Januari hadi Desemba 24/7 kudai mabadiliko haraka iwezekanavyo.
Kwa zile sifa alizozimwaga bilionea jana, aseeee nadhani atavunja miguu nchi nzima
 
Back
Top Bottom