Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Kabisa no reform No electionTume na watendaji wake wote ni mali ya ccm na boss wao ni mgombea wa ccm, hakuna namna tume itafanya kazi kwa ufanisi bila upendeleo.
No reforms no election.
Wachumia tumbo, wauaji, watekaji na wafiraji hawawezi kuona umuhimu wa hii kampeni,Tusome hizi pointi halafu tutoe maoni No reform No election
MADAI NA MSIMAMO WA CHADEMA NA WANANCHI WOTE
1. TUME HURU ISIYO CHINI YA RAIS/IKULU:
Tume ya sasa sio huru ipo chini ya Mwenyekiti wa CCM ambaye pia ni Mgombea Urais. Hii haikubaliki popote
2. MAKAMISHNA WA TUME WAPATIKANE KWA UWAZI:
Kwasasa wanateuliwa na Rais/Mwenyekiti wa CCM ambaye pia ni mgombea wa urais. Inatakiwa Wadau kama vyama vya siasa, Dini na Jamii kwa ujumla washirikishwe kwenye mchakato wote maana hili sio suala la CCM peke yake.
3. MAZINGIRA YA HAKI KWA VYAMA VYA SIASA VYOTE, HASA KATIKA KAMPENI:
Uhuru wa wagombea kushiriki kwenye kampeni bila kusumbuliwa na vyombo vya dola ambavyo mara zote hupendelea CCM waziwazi.
4. MATOKEO YA URAIS YAPINGWE MAHAKAMANI:
Kwasasa Tume imepewa Mamlaka ya kumtangaza mtu yeyote kwamba ni mshindi na wasihojiwe popote
5. USHIRIKISHWAJI KATIKA MCHAKATO WA UCHAGUZI:
Kwasasa maamuzi yote yanafanywa na Tume bila kumshirikisha mdau yeyote isipokuwa CCM kupitia Rais aliyewateua.Chadema inataka kushirikisha wadau wote katika maamuzi muhimu kama vile:
Ukaguzi wa daftari la wapigakura/kazi data ya wapiga kura iwekwe wazi Usambazaji wa vifaa vya uchaguzi Ugawaji wa majimbo ya uchaguzi n.k
6. UAJIRI WA WAFANYAKAZI WA NEC WENYE UTAALAMU NA BILA UPENDELEO KATIKA NGAZI ZOTE ZA UCHAGUZI:
Kwasasa Wafanyakazi wengi wa Tume wanapatikana kwa njia zisizo wazi na wengi wanaopewa nafasi hizo ni wanachama wa CCM.
No reform No electionWachumia tumbo, wauaji, watekaji na wafiraji hawawezi kuona umuhimu wa hii kampeni,
No reform No electionSidiemu iko na hoja nzito sana. Kila mtu analijua hilo.
Je, wataweza kusimama na hoja yao hadi mwisho?
Nchi zingine wangekuwa mgogoro wa kikatiba tuliyo nayo Tanzania, wangeandamana Januari hadi Desemba 24/7 kudai mabadiliko haraka iwezekanavyo.
No reform No electionDuniani mabadiliko hayaji kwa kuongea na ku type kwenye mitandao.
NRNENO REFORM NO ELECTION
MADAI NA MSIMAMO WA CHADEMA NA WANANCHI WOTE
1. TUME HURU ISIYO CHINI YA RAIS/IKULU:
Tume ya sasa sio huru ipo chini ya Mwenyekiti wa CCM ambaye pia ni Mgombea Urais. Hii haikubaliki popote
2. MAKAMISHNA WA TUME WAPATIKANE KWA UWAZI:
Kwasasa wanateuliwa na Rais/Mwenyekiti wa CCM ambaye pia ni mgombea wa urais. Inatakiwa Wadau kama vyama vya siasa, Dini na Jamii kwa ujumla washirikishwe kwenye mchakato wote maana hili sio suala la CCM peke yake.
3. MAZINGIRA YA HAKI KWA VYAMA VYA SIASA VYOTE, HASA KATIKA KAMPENI:
Uhuru wa wagombea kushiriki kwenye kampeni bila kusumbuliwa na vyombo vya dola ambavyo mara zote hupendelea CCM waziwazi.
4. MATOKEO YA URAIS YAPINGWE MAHAKAMANI:
Kwasasa Tume imepewa Mamlaka ya kumtangaza mtu yeyote kwamba ni mshindi na wasihojiwe popote
5. USHIRIKISHWAJI KATIKA MCHAKATO WA UCHAGUZI:
Kwasasa maamuzi yote yanafanywa na Tume bila kumshirikisha mdau yeyote isipokuwa CCM kupitia Rais aliyewateua.Chadema inataka kushirikisha wadau wote katika maamuzi muhimu kama vile:
Ukaguzi wa daftari la wapigakura/kazi data ya wapiga kura iwekwe wazi Usambazaji wa vifaa vya uchaguzi Ugawaji wa majimbo ya uchaguzi n.k
6. UAJIRI WA WAFANYAKAZI WA NEC WENYE UTAALAMU NA BILA UPENDELEO KATIKA NGAZI ZOTE ZA UCHAGUZI:
Kwasasa Wafanyakazi wengi wa Tume wanapatikana kwa njia zisizo wazi na wengi wanaopewa nafasi hizo ni wanachama wa CCM.
Wananchi wote kivipi!?. Wengine hatumo kwenye hzo reform na election.NO REFORM NO ELECTION

No reform No election fanya kazi chadema haiongozi nchi hivyo maendeleo waulize ccmWananchi wote kivipi!?. Wengine hatumo kwenye hzo reform na election.
Wanasiasa wote wababaifu tu , wangekuwa wema tungeona mabadiliko makubwa kwenye majimbo Yao au mishahara Yao ya ubunge wangeitoa kwa asilimia kadhaa kwa maendeleo ya nchi Yao, mbona posho na marupurupu hawajakatai wanayakumbatia!?. Kazi kupigiana kelele tu.
Kwa zile sifa alizozimwaga bilionea jana, aseeee nadhani atavunja miguu nchi nzimaSidiemu iko na hoja nzito sana. Kila mtu analijua hilo.