Wote tusome hapa kama wazalendo wa nchi yetu na tutoe maamuzi

Wote tusome hapa kama wazalendo wa nchi yetu na tutoe maamuzi

Arsenal Gunner

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2022
Posts
10,891
Reaction score
17,718
Nchi inatafunwa na wajanja hii huku wajinga wakipewa baiskeli aisee watu wanapiga mabilioni tu ndio maana wanahubiri amani huku neno haki hawalitamki
 

Attachments

  • Screenshot_20250831-164107_1.jpg
    Screenshot_20250831-164107_1.jpg
    504.4 KB · Views: 33
  • Screenshot_20250831-164110_1.jpg
    Screenshot_20250831-164110_1.jpg
    467.2 KB · Views: 32
  • Screenshot_20250831-164114_1.jpg
    Screenshot_20250831-164114_1.jpg
    494.6 KB · Views: 24
Ni hatari sana mkuu
Nilikuwa naona Rolls-Royce Cullinam, MB G Wagon,Ferrari, Rolls-Royce Ghost zina registration majina fulani nikauliza ni nani huyu nikaambiwa ni ...... nikauliza anafanya biashara gani nikaambiwa KALIPWA na serikali baada ya Magu kufa!
 
Mimi nashangaa kwenye kampeni, huyu kiranja mkuu haongelei kabisa, kama ata chaguliwa, ni kwa namna gani ata pambana na ufisadi anaongea vitu vingine tu ni kama hakuna kinacho endelea.
 
Nani kakwambia kuwa Watanzania wanahitaji ukombozi..!!!

#YNWA
#YANGA_BINGWA
 
Kuna uzi humu unahamasisha watumishi wanapopata upenyo wapige kweli kweli. Haya mambo yasiishie juu tu
 
Aliyejua Rugemalila, Malinzi, Sigh nk watakuja kulala Segerea ni nani. Upo wakati Chuma kitashika uskani hawa wahuni wote watafilisiwa tuu. Familia za akina Mramba na Karamagi leo wamebaki na nini kama sio kashfa na aibu kwa jamii??
Time will tell hakuna Ubaya wenye mwisho mwema.
 
Back
Top Bottom