Manofu
JF-Expert Member
- Nov 3, 2018
- 1,317
- 2,020
Kama faida simba Wamepata musimu huu ila faida imetokana na viingilio vya uwanjani mechi za kimataifa pamoja na mgao kutoka CAF ila ligi ya ndani wote tulio baki tupo hoi taabani.Naomba uweke pia imetumia kiasi gani usijekuta hela hizo zimeishatumika kugharamia timu pia.