Wote wanao chat muda huu wamejawa na upweke

Wote wanao chat muda huu wamejawa na upweke

Jamani sikila alie macho mda huu ni mpyeke hapana, wengine tunawasaidia wake zetu kulea.
Siunajua wanawake wakiwa na watoto wachanga wanavyotaabika!.
 
alaaaaa alaaaa kumbee nilikuwaa sifahamuu ngojaaa nilifanyieee kaziiiiiii
 
  • Thanks
Reactions: SDG
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji779] [emoji779] [emoji779]
Dah mkuu,
Ngoja tupige story kidogo,

Kuna hivi vitabu viwili,
THE SECRET by Rhonda Brayne
BE EXTRA ORDINARY by Robin Sharma,
Je umewahi kuvisoma?
 
Back
Top Bottom