Wote wanao chat muda huu wamejawa na upweke

Wote wanao chat muda huu wamejawa na upweke

Wenye mabebi wao saa hii MankaM huwezi kuwaona hapa saa hii wanajiandaa na mechi za mapema, huoni tu mwenyewe jukwaa lilivyopoa? Wale wenzangu na mie saa hii wengine wako kwenye TV na wengine bado wako nje wanatoa lock

Sasa hatuna jinsi jamani kuchat ndio hatuachi
 
Back
Top Bottom