Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
wengine tuna kipaji cha kulala jicho moja...jingine linakuwa jicho
ngoja waamke,
Hawatapata hata mmoja labda asiwe member
Kumeshapambazuka jamani
Wenye mabebi wao saa hii MankaM huwezi kuwaona hapa saa hii wanajiandaa na mechi za mapema, huoni tu mwenyewe jukwaa lilivyopoa? Wale wenzangu na mie saa hii wengine wako kwenye TV na wengine bado wako nje wanatoa lock