Wote wanao chat muda huu wamejawa na upweke

Wote wanao chat muda huu wamejawa na upweke

Mida ya upweke hii... Kama uko macho mida hii basi
Unaweza ukawa uko kazini night shift
Una stress za maisha
Una madeni
Una broken heart
Mwizi
Msafiri
Mdangaji [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jr[emoji769]
 
*None of the above is true*
 
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Haiwezekani uko kitandani na BEBI wako halafu umuache tu alale wee uko busy na mtandao.
Wengi wana husika hapa ��������������������������msinipige mawe hamjuii nami niko wapi hapo.
True
 
@kabanga
Upweke nini....?
IMG_20191130_213112_5.jpeg
 
Haiwezekani uko kitandani na BEBI wako halafu umuache tu alale wee uko busy na mtandao.
Wengi wana husika hapa ��������������������������msinipige mawe hamjuii nami niko wapi hapo.
Hahahaha, sie wengine walinzi Mkuu
 
Back
Top Bottom