kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,154
- 17,491
Huwezi kulinda Kwa moyo kitu usichokifahamu vizuri. Ukiteuliwa Leo unaapishwa kesho kulinda katiba, wapo wanaopa kulinda katiba wasiyoifahamu inasema nini na inataka nini, ndiyo maana watu wanakubali haraka haraka kuapishwa. Pengine hawafahamu katiba inataka nini, inaruhusu nini na inakataza nini.
Ni vema wateule wote wapewe mwezi mmoja wa kuipitia katiba yote neno kwa Nene, mstari kwa msatari, kifungu kwa kifungu, na ukurasa kwa ukurasa kabla ya kuapishwa kuilinda Katiba. Hii itaongeza ufanisi katika kufuata na kulinda katiba.