Wote wanaomshabikia Cristiano Ronaldo hawajui mpira na ni Wakengeukaji

Kuna nguli mmoja mchambuzi alisema kama wangeweza ilikuwa ronadol azaliwe kipindi cha kina figo
Beckam
Nedeved
Kuzaliwa kipindi cha messi hawezi kuonekana kwa sbab messi anafiti kila eneo

 
Hao ni miungu wa mpira huu wa kisasa....

Ronaldo ni "mfumania nyavu" mzuri kuliko messi...

Messi ni "mchezea mpira" mzuri kuliko ronaldo ....
 
Ulimwengu Wa soka unamtambua
Pelle
Maradona

Na huwa hao ndio wanapigiwa chapuo LA kufananishwa na messi lkn sijaona kwa wajuvi Wa soka wakamfananisha Ronald na hao pipo wawili
 
Nakubaliana na wewe 100%, Ronaldo ni mfungaji bora sio mchezaji bora hapo ndio tunajichanganya sana. hizi awards ni siasa za kibiashara tu hawa kina Adidas, Nike na Puma wanacheza big role kujuwa nani anauza sana biashara. kama wakati wa Scholes na Beckham sio kwamba Beckham alimzidi Scholes lakini siku zote ni Beckham sababu anauza, maajabu ya dunia eti Xavi wa Barca enzi zake hajawahi kuwa mchezaji bora wakati jamaa alikuwa fundi mkubwa.
 
Kwa kupewa sawa lkn haimfikishi uwezo Wa messi
 
CR7 is a complete player. Anatumia miguu yote miwili kwa umahili mkubwa, ana kasi, anafunga magoli ya vichwa, penalty, adhabu ndogo na ana uchu wa ushindi. Sifa hizi Messi pia anazo ila ana upungufu mmoja hawezi kutumia mguu wa kuume kwa umahili.
Kweli kabisa anafanya yote hayo ili kumfikia messi
 
Nyie mnaosema Ronaldo sawa,,mkali sanaaa ila messi ni mkali zaid ya snaaaa maana anafunga mpaka kwenye penati anatoa pasi,,ronaldo anaweza hilo
Kwa roho mbaya ya Ronald hawezi pasi kwenye penat
 
Ronaldo ni mchezaj bola wa dunia MESSI ni mchezaji bola wa ULIMWENGU
 
Acha basi wivu wa dizaini hiyo, Messi na MSN yake waliudanganya ulimwengu kuwa ukuta wa juventus haufungiki wala kupitika na katika mechi mbili walishindwa kufunga goli lolote lakini Ronaldo amewaprove wrong katika mechi moja kawatungua Mara mbili
Tutumie pia mechi zao wenyewe Barcelona na real Madrid huwa kina kinatokea
 
Wewe umeshazibuliwa makalio unabaki kulia lia tu. Nesi wenu na nyie mko na stress.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…