Wote wanaomshabikia Cristiano Ronaldo hawajui mpira na ni Wakengeukaji

Ronaldo huyu mwenye kashifa ya ushoga unamfananisha na mwaume rijali kazi kweli kweli
 
hii hadith yako kawapigie barcelona wenzio ndo watakuelewa
 
Tunachohitaji ni kuona mchezaji mwenye kuleta matokeo. Najua Messi anaujua mpira hilo halina ubishi lakini, kaleta mafanikio ya mataji kwa muda huu tunaoongea na hata kwa timu ya taifa lake ameletachango mkubwa?
 
RONALDO: The numbers don’t lie



“I think people don’t have words to criticise, because the numbers don’t lie,” he told reporters after receiving the man-of-the-match award from his former Manchester United mentor Alex Ferguson.
 
Roho inakuuma eeh, pole sana. Tafuta tu limao ulambe labda utapata nafuu. Ila kaa ukijua for next 2 to 3yrs uwe na malimao ya kutosha!
Nakubaliana na wewe makocha, waandishi wa habari na national team captains waliompa ballon d'or mara 4 ni washamba na mapopoma.
 
Kwan wewe ukiamni katika messi na sie tukaamin kwa ronaldo kuna ubaya ?
Tatizo sio ubaya hapa anazungumzia uhalisia, huwezi kujitoa fahamu
ukasema dagaa kauzu ni watamu kuliko nyama ya kuku wa kieyeji
lazima tutakupinga ingawa inawezekana kabisa huenda ni tatizo la ulimi
wako kutofautiana na ndimi za wengine katika kutambua ladha.
 
Unaumia sana ukisikia habari za CR7. Bado August kuna mechi/vikombe vya kujazia jazia. Utaendelea kuumia zaidi na zaidi. Dah
Kweli kijana ataumia sana tu! Messi ameufanyia nini taifa lake.?
 
Waweza kuwa humpendi Ronaldo lakini lazima ukubali kile anachokifanya.Hakimbii sana kama zamani,amejikita kwenye kufunga magoli tu kwa sasa lakini ndo amekuwa bora zaidi.
 
Hii roho haikuumizi mkuu maana ni ngum kuwa nayo i mean baada ya kuandika hukucheka kweli?
 
Ronaldo ni mchezaji hatari na mzuri sana ila Messi sio wa sayari hii.
Mbona kakubali kulipwa hela za sayari hii na ana kesi kwenye sayari hii na kafungwa kwenye sayari hii Mesi yuko poa sana ila Ronaldo yuko poa sana
 
Itakuwa hayuko ofisi aliyokuwa si unajua maisha ila sema hata uandishi wake umebdilika sana ni kama kauza acount yake
 
Ukitaka kujua ukweli wa messi na ki-ronaldo karudie kuitazama El classico waliopigwa palepale kwao Bernabeu
@ki-ronaldo ni bora lakini messi ni bora zaidi sijui unanielewa mtoa post
Maisha yanaenda mbele mkuu hatuwezi kurudi nyuma tena
 
CR7 is a complete player. Anatumia miguu yote miwili kwa umahili mkubwa, ana kasi, anafunga magoli ya vichwa, penalty, adhabu ndogo na ana uchu wa ushindi. Sifa hizi Messi pia anazo ila ana upungufu mmoja hawezi kutumia mguu wa kuume kwa umahili.


Unaambiwa ivi. messi hana mfano wake katika players waliopita na wa sasa na wajao. Nahitimisha
 
Unaambiwa ivi. messi hana mfano wake katika players waliopita na wa sasa na wajao. Nahitimisha


We kumbe ni wa ajabu kweli, unajua vizuri players waliopita au unasema tu. Kuna wachezaji wengi tu waliopita wamemzidi huyo Messi. Mtu hata kombe la Dunia hajawahi beba, halafu utamweka kundi moja na Pele, Maradona, del Pierro, Ronaldo de Lima na wengineo?
 
Mbona kakubali kulipwa hela za sayari hii na ana kesi kwenye sayari hii na kafungwa kwenye sayari hii Mesi yuko poa sana ila Ronaldo yuko poa sana

Kwani Yesu alikuwa wa sayari hii? [emoji3] Mbona alichonga fanicha za sayari hii, akala msosi wa sayari hii na mwisho wayahudi wa sayari hii wakamtandika fimbo za sayari hii.. Wakamchoma mikuki ya sayari hii.. Ee? [emoji3]
 
..Acheni kumpamba Christiano Ronaldo wakati ni mchezaji wa kawaida mno ambaye hata Mohamed Ibrahim au Shiza Kichuya wa Simba SC wanaweza wakamfikia

Sometimes mapenzi ya ushabiki kwa flani na chuki kwa mwingine zinaweza kututia upofu wa mawazo. Hata kama humpendi Ronaldo na kiwango chake hukikubali, hiki ulichoandika si sawa na ni ndoto tu za alinacha.

Ronaldo ni machine ya tofauti sana kaka na imeshakuwa proven at-least at two different clubs na hata National team huwa anaibeba. Yule bwana mwingine yeye huenda waliomzunguka ndo wanaomuinua kwa kiasi kikubwa. Ukimchanganya na mediocre players huenda usimuone kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…