Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hii hadith yako kawapigie barcelona wenzio ndo watakuelewaZinedine Zidane Manager / Kocha wa Real Madrid anamjua vizuri na tena zaidi yako Wewe POPOMA wa Christiano Ronaldo. Acheni kumpamba Christiano Ronaldo wakati ni mchezaji wa kawaida mno ambaye hata Mohamed Ibrahim au Shiza Kichuya wa Simba SC wanaweza wakamfikia na hata kumzidi sema tu bahati mbaya wapo Madongo Kuinama huku Afrika na bado hawajawa tu exposed kama Yeye.
Lionel Messi ndiyo habari ya mjini na ndiyo maana hata Manguli / Legends wenyewe Pele na Maradona wameshakiri kuwa Messi siyo wa Sayari hii tunayoishi sisi Mangumbaru / Hopeless.
Roho inakuuma eeh, pole sana. Tafuta tu limao ulambe labda utapata nafuu. Ila kaa ukijua for next 2 to 3yrs uwe na malimao ya kutosha!Sijaona ambacho anakifanya leo hii Christiano Ronaldo na hakikufanywa na Fundi Lionel Messi miaka miwili mitatu nyuma. Halafu nimegundua kuwa wale wote ambao kutwa wanamshabikia na kumfagilia Christiano Ronaldo ni Washamba wakubwa, wageni wa masuala ya Mpira na watupu mno Kiuchambuzi na Kiutaalam wa masuala ya mpira.
Acheni ushamba tafadhali Christiano Ronaldo bado sana kwa Lionel Messi.
Nawasilisha.
Hahahaaaaaa, Ronaldo si anaendaga MoroccoMumeo akisoma hapa unasifia waume wengine atakushangaa
Tatizo sio ubaya hapa anazungumzia uhalisia, huwezi kujitoa fahamuKwan wewe ukiamni katika messi na sie tukaamin kwa ronaldo kuna ubaya ?
Kweli kijana ataumia sana tu! Messi ameufanyia nini taifa lake.?Unaumia sana ukisikia habari za CR7. Bado August kuna mechi/vikombe vya kujazia jazia. Utaendelea kuumia zaidi na zaidi. Dah
Waweza kuwa humpendi Ronaldo lakini lazima ukubali kile anachokifanya.Hakimbii sana kama zamani,amejikita kwenye kufunga magoli tu kwa sasa lakini ndo amekuwa bora zaidi.Sijaona ambacho anakifanya leo hii Christiano Ronaldo na hakikufanywa na Fundi Lionel Messi miaka miwili mitatu nyuma. Halafu nimegundua kuwa wale wote ambao kutwa wanamshabikia na kumfagilia Christiano Ronaldo ni Washamba wakubwa, wageni wa masuala ya Mpira na watupu mno Kiuchambuzi na Kiutaalam wa masuala ya mpira.
Acheni ushamba tafadhali Christiano Ronaldo bado sana kwa Lionel Messi.
Nawasilisha.
Waweza kuwa humpendi Ronaldo lakini lazima ukubali kile anachokifanya.Hakimbii sana kama zamani,amejikita kwenye kufunga magoli tu kwa sasa lakini ndo amekuwa bora zaidi.
Hii roho haikuumizi mkuu maana ni ngum kuwa nayo i mean baada ya kuandika hukucheka kweli?Zinedine Zidane Manager / Kocha wa Real Madrid anamjua vizuri na tena zaidi yako Wewe POPOMA wa Christiano Ronaldo. Acheni kumpamba Christiano Ronaldo wakati ni mchezaji wa kawaida mno ambaye hata Mohamed Ibrahim au Shiza Kichuya wa Simba SC wanaweza wakamfikia na hata kumzidi sema tu bahati mbaya wapo Madongo Kuinama huku Afrika na bado hawajawa tu exposed kama Yeye.
Lionel Messi ndiyo habari ya mjini na ndiyo maana hata Manguli / Legends wenyewe Pele na Maradona wameshakiri kuwa Messi siyo wa Sayari hii tunayoishi sisi Mangumbaru / Hopeless.
Mbona kakubali kulipwa hela za sayari hii na ana kesi kwenye sayari hii na kafungwa kwenye sayari hii Mesi yuko poa sana ila Ronaldo yuko poa sanaRonaldo ni mchezaji hatari na mzuri sana ila Messi sio wa sayari hii.
Itakuwa hayuko ofisi aliyokuwa si unajua maisha ila sema hata uandishi wake umebdilika sana ni kama kauza acount yakeMkuu Gentamycine nini kimekusibu???
Zamani ulikua unakuja na post zenye facts na point tupu ila siku hizi unapost mataputapu kila kukicha[emoji23] [emoji23] [emoji23] ,heshima yako inashuka kwa kasi kama uchumi wa TZ.
Kumpenda kwako Messi hakumfanyi CR7 kutokua bora.
Jiandae kisaikolojia kumuona CR7 kama ballon dor winner kwa mwaka huu!
Maisha yanaenda mbele mkuu hatuwezi kurudi nyuma tenaUkitaka kujua ukweli wa messi na ki-ronaldo karudie kuitazama El classico waliopigwa palepale kwao Bernabeu
@ki-ronaldo ni bora lakini messi ni bora zaidi sijui unanielewa mtoa post
CR7 is a complete player. Anatumia miguu yote miwili kwa umahili mkubwa, ana kasi, anafunga magoli ya vichwa, penalty, adhabu ndogo na ana uchu wa ushindi. Sifa hizi Messi pia anazo ila ana upungufu mmoja hawezi kutumia mguu wa kuume kwa umahili.
Unaambiwa ivi. messi hana mfano wake katika players waliopita na wa sasa na wajao. Nahitimisha
Mbona kakubali kulipwa hela za sayari hii na ana kesi kwenye sayari hii na kafungwa kwenye sayari hii Mesi yuko poa sana ila Ronaldo yuko poa sana
..Acheni kumpamba Christiano Ronaldo wakati ni mchezaji wa kawaida mno ambaye hata Mohamed Ibrahim au Shiza Kichuya wa Simba SC wanaweza wakamfikia