Gily Gru
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 8,632
- 23,673
- Thread starter
- #241
Kuna mtu anaitwa Hashim "Rungwe" aliwahi kuwa mgombea Urais wa NCCR Mageuzi.
Kuna marehemu, TX "Moshi" Wiliam. Mwimbaji nguli wa zamani.
Kuna Waziri wa zamani, Adam "Kigoma" Malima, mwanaye ni mkuu wa mkoa sasa.
Si kitu kigeni inawezekana kama ilivyowezekana.
Namjua Hashim Rungwe anadai aliibiwa kura, yule mzee mzushi sana sera zake alitaka kumwagilia mashamba ka kutumia ndege aisee
Namkubali sana Tx Moshi nadhani kwa sautiatabaki kuwa msanii wa kipekee. Msondo nakikubali sana kibao cha CHUMA na BINTI MARINGO
Huyo jamaa Malima ambaye mkuu wa mkoa, mwanae nilisoma nae chuo, alikuwa anamwita baba mdogo na nadhani alikuwa anaishi nae
Wewe umependa jina lipi kutokana na mikoa ya kitanzania?