Tansy
JF-Expert Member
- Apr 19, 2018
- 3,946
- 8,949
Mimi ni msabato piaWasabato wana sheria I had a friend hata baadhi ya soda walikuwa hawaruhusiwi, kusuka hawaruhusiwi hata kunywa chai ya rangi hawaruhusiwi
I will check it out nione kama lipo kikanisa
Wanashauri usitumie soda kiafya zaidi