Would you consider naming your kids after a place?

Would you consider naming your kids after a place?

We've got a lot of ASIAs in Tanzania but it's been read 'asia' as it is and not otherwise
Tanganyika must be a popular name, you are a second person I have heard this from
Come one how about biggest cities out there in the world?

Are you not tempted by the names: Victoria, Chelsea, Jordan, Sydney, Berlin, Vegas, Asia, Georgia, Sierra, Miami, Vienna, Eden?
 
Namjua Hashim Rungwe anadai aliibiwa kura, yule mzee mzushi sana sera zake alitaka kumwagilia mashamba ka kutumia ndege aisee

Namkubali sana Tx Moshi nadhani kwa sautiatabaki kuwa msanii wa kipekee. Msondo nakikubali sana kibao cha CHUMA na BINTI MARINGO

Huyo jamaa Malima ambaye mkuu wa mkoa, mwanae nilisoma nae chuo, alikuwa anamwita baba mdogo na nadhani alikuwa anaishi nae

Wewe umependa jina lipi kutokana na mikoa ya kitanzania?
Napenda Arusha naweza ligeuza herufi likawa Ashura na likaleta mantiki.

Napenda Dodoma, naweza lifupisha likawa Dom likaleta maana nikalitumia.

Hapo vipi?
 
I remember Denver and Tokyo two of my favorites in Money Heist

Berlin is dead my friend forget him
And now Nairobi could be dead, hawa jamaa wanaua all my favorite characters.
 
Mwana umechagua majina mazuri, ila hili Njiro nimelipenda

Unaweza kunambia kwa nini umechagua hayo majina?
Napenda tu yanavo sound japo pia sidhani kama yanaweza kuwa na maana mbaya kwa nature ya watu wa bara.. Kule visiwani ndo utakumbana na Mchamba wima, Kibanda maiti nk.. Em imagine mwanao unamuita Kibanda maiti😀😆
 
Ati kolomije for a boy, it sounds good tho😂😂😂😂😂😂😂
 
We've got a lot of ASIAs in Tanzania but it's been read 'asia' as it is and not otherwise

Yes it reads as asia like it sounds, interesting naming a child after a continent

What name do you prefer from Tanzania cities or villages?
 
Napenda tu yanavo sound japo pia sidhani kama yanaweza kuwa na maana mbaya kwa nature ya watu wa bara.. Kule visiwani ndo utakumbana na Mchamba wima, Kibanda maiti nk.. Em imagine mwanao unamuita Kibanda maiti😀😆

Hahah majina ya visiwani mazito kuyatamkaila watu wa kule wameshazoea. Kwa kweli ndugu zetu wa visiwani wabadilike hayo majina hayaleti picha nzuri na huwezi mpa mwanao hayo majina

Kuna majina kama Pemba, Unguja, Chakechake au hata Kiwisani nayaona mazuri tu
 
Ati kolomije for a boy, it sounds good tho😂😂😂😂😂😂😂

Kila mtu anapendekeza jina because it sounds good
Is there other reasons to naming your kids after a place No???
 
Yes. I can name her or him Egypt meaning one who has knowledge.

Also I can name her " Kinshasa" or " Arusha".

If I get twins I can name them " Qatar and Bahrain"
 
Yes. I can name her or him Egypt meaning one who has knowledge.

Also I can name her " Kinshasa" or " Arusha".

If I get twins I can name them " Qatar and Bahrain"

I can see Egypt is similar to Sophia
Kinshasa sound very interesting and you wont be the only one naming after Arusha; some people here seemed very interested to the idea. One of them said he will call his kid Njiro

But those twins wont they be identical?? Why not naming them Iraq and Iran, Australia and Austria, Ireland and Iceland, Paraguay and Uruguay, Niger and Nigeria, Slovakia and Slovenia etc
 
Napenda Arusha naweza ligeuza herufi likawa Ashura na likaleta mantiki.

Napenda Dodoma, naweza lifupisha likawa Dom likaleta maana nikalitumia.

Hapo vipi?

Hahah unataka umwite mwanao Dom

Sasa hilo jina utawapa Ke au Me?
 
Hilo ni unisex. Ke ama Me.
Watoto wanakuwa wanataniwa sana shuleni wakiwa na majina ya unisex

Unakuta majina kama Tumaini, Bahati, Hope, Pendo, Zawadi nk

Ila Dom linavutia sana
 
Back
Top Bottom