Some decisions we make they dont need reasons...Im trying to think any country/city name that would suit my girl..but absolutely cant get.
Kwanini umeona nn kama sio unatafuta ugomvi However most of the places in Tanzania qualifies better for naming girls, check it out:
Yah mara nyingi yanasumbua mnoNakushauri usifanye ujinga huo hata siku moja. Mara nyingi unapowapa majina ya kurithi watoto hata tabia zao zinakuwa za kurithi. Kwa majina yote duniani kwa nini umpe jina la kurithi?
Uwe makini na hayo majina huwa yana shida sana sana...
Yah mara nyingi yanasumbua mno
Tamaduni zetu hizi unakuwa na majina mawili hivi .
Haya majina ya kurithi hayafai ila ndo unakutana situation ambapo huna jinsi.
parisa sounds good instead of parisRecently many people in the world have been inspired to name their children after famous (some not so famous) places. Would you consider naming your children after a country, city, town, district or a village??
Out there in the world, I like the name Paris for a girl and London for a boy. In Africa, I think Liberia would be an excellent name for a girl while Ghana would be excellent for a boy.
In Tanzania, I like the name Tabora while Kigoma would make a good name for a boy. However most of the places in Tanzania qualifies better for naming girls, check it out: Dar es Salaam, Mwanza, Dodoma, Morogoro, Kahama, Shinyanga, Tabora, Pemba, Unguja, Sumbawanga, Rukwa, Kasulu, Songea, Ruvuma, Moshi, Kilimanjaro, Musoma, Mara, Iringa, Singida, Njombe, Bukoba, Kagera, Kibaha, Pwani, Mtwara, Mpanda, Katavi, Tunduma, Mbeya, Makambako, Njombe, Babati, Manyara, Handeni, Tanga, Lindi, Mafinga or Arusha.
What names would you like for your kids?
Parisa =girl and paris for a boyYou mean for a girl right? Or naming a boy Parisa???
True! Like Shekilango, Songea etcPlaces are named after people, too.
Haha yasiyo na kichwa Wala mguuJina la pili unaweza kumuita hata namba. Kwa nina la pili unaweza muita Shukuru, Bahati, Hope, Pendo, Baraka, nk
Mwanao wewe alafu watu wakupangie majina. Kwangu hata kama ni mama mkwe atanichukia sitaki kabisa ajipendekeze na majina yake yasiyo na kichwa wala miguu. Anayetaka jina azae mwanae ampe ila sio wanangu, usikubali kabisa kizembe zembe tena yale majina kama Sikujua, Tabu, Shida, Cheusi (labda cheupe), sijui Chaupele nk usiyakubali kabisa
Haha yasiyo na kichwa Wala mguu
Sasa unafanyaje na ndo umeolewa hivyo na ndo Kwanza ndoa ni mbichi ?
Hayo siyo majina ya kumpa mtoto
Wanawake tumeumbiwa uvumilivu na utii kwa wanaume .
Oh yes hayo ni majina mazuriNdio bora umpe majina mazuri kama Waridi, Tumaini nk
Ukimwita mwanao chaupele anaweza kuwa na ukurutu sugu ambao hauishi
Napenda sana pale mwanamke anapokuwa na staha ya uvumilivu na utulivu
Kuna wanawake wako resi sana, kumpata yule mwenye utulivu wa akili ni mmoja mmoja sana tena kwa dunia ya sasa haifai kabisa
Recently many people in the world have been inspired to name their children after famous (some not so famous) places. Would you consider naming your children after a country, city, town, district or a village??
Out there in the world, I like the name Paris for a girl and London for a boy. In Africa, I think Liberia would be an excellent name for a girl while Ghana would be excellent for a boy.
In Tanzania, I like the name Tabora while Kigoma would make a good name for a boy. However most of the places in Tanzania qualifies better for naming girls, check it out: Dar es Salaam, Mwanza, Dodoma, Morogoro, Kahama, Shinyanga, Tabora, Pemba, Unguja, Sumbawanga, Rukwa, Kasulu, Songea, Ruvuma, Moshi, Kilimanjaro, Musoma, Mara, Iringa, Singida, Njombe, Bukoba, Kagera, Kibaha, Pwani, Mtwara, Mpanda, Katavi, Tunduma, Mbeya, Makambako, Njombe, Babati, Manyara, Handeni, Tanga, Lindi, Mafinga or Arusha.
What names would you like for your kids?
Oh yes hayo ni majina mazuri
Je una amini kuwa jina linaweza kumjenga mtu awe na tabia flani ?
👏👏Naamini hivyo kabisa kwa kweli ukiona mtu anaitwa Shida au Tabu hata maisha yao huwa ya yana changamoto sana. Mie sipendelei kuona hayo majina
Pili hata jina unalompa mwanao liwe la kizungu au kiswahili hakikisha unajua maana ya hilo jina. Hakuna jina lisilo na maana majina yote yana maana na unatakiwa ujue maana yake
Tatu jina la kurithi liwe mwiko, hata kama ni la baba yako, au mama yako kwa kweli kurithi majina Africa kunakuwa na madhara makubwa sana. Tena hususani nyakati hizi bado watu wamefungwa fungwa na maroho machafu, unakuta watoto wanarithi vyote hivyo