Would you consider naming your kids after a place?

Some decisions we make they dont need reasons...Im trying to think any country/city name that would suit my girl..but absolutely cant get.

I have been curious about the names and I find it very interesting. You are right, you wouldn't need a reason to name your kid after a place. Would you be willing for your spouse to name your kid though?
 
Kwanini umeona nn kama sio unatafuta ugomvi However most of the places in Tanzania qualifies better for naming girls, check it out:

Am not trying to pick up a fight or anything. I am Chagga and Moshi is within the names I mention

You are thinking way far,I am not in that train of thoughts

I just think they would qualify well for a girl, it doesnt matter it could also qualify for a boy
 
Hahaahaha watu bhana mie sitii neno hapo
 
Nakushauri usifanye ujinga huo hata siku moja. Mara nyingi unapowapa majina ya kurithi watoto hata tabia zao zinakuwa za kurithi. Kwa majina yote duniani kwa nini umpe jina la kurithi?

Uwe makini na hayo majina huwa yana shida sana sana...
Yah mara nyingi yanasumbua mno
Tamaduni zetu hizi unakuwa na majina mawili hivi .

Haya majina ya kurithi hayafai ila ndo unakutana situation ambapo huna jinsi.
 
Jina la pili unaweza kumuita hata namba. Kwa nina la pili unaweza muita Shukuru, Bahati, Hope, Pendo, Baraka, nk

Mwanao wewe alafu watu wakupangie majina. Kwangu hata kama ni mama mkwe atanichukia sitaki kabisa ajipendekeze na majina yake yasiyo na kichwa wala miguu. Anayetaka jina azae mwanae ampe ila sio wanangu, usikubali kabisa kizembe zembe tena yale majina kama Sikujua, Tabu, Shida, Cheusi (labda cheupe), sijui Chaupele nk usiyakubali kabisa
 
Recently many people in the world have been inspired to name their children after famous (some not so famous) places. Would you consider naming your children after a country, city, town, district or a village??

Out there in the world, I like the name Paris for a girl and London for a boy. In Africa, I think Liberia would be an excellent name for a girl while Ghana would be excellent for a boy.

In Tanzania, I like the name Tabora while Kigoma would make a good name for a boy. However most of the places in Tanzania qualifies better for naming girls, check it out: Dar es Salaam, Mwanza, Dodoma, Morogoro, Kahama, Shinyanga, Tabora, Pemba, Unguja, Sumbawanga, Rukwa, Kasulu, Songea, Ruvuma, Moshi, Kilimanjaro, Musoma, Mara, Iringa, Singida, Njombe, Bukoba, Kagera, Kibaha, Pwani, Mtwara, Mpanda, Katavi, Tunduma, Mbeya, Makambako, Njombe, Babati, Manyara, Handeni, Tanga, Lindi, Mafinga or Arusha.

What names would you like for your kids?
parisa sounds good instead of paris
 
Parisa =girl and paris for a boy

A boy named Paris
The bad side of these names is that can be used for a boy or a girl. At school kids would make fun of the baby boys so much especially who shares girls names
 
True! Like Shekilango, Songea etc

I live near shekilango but I dont have the slightest idea it was named after a person

Very interesting, is he still alive?
 
Jina la pili unaweza kumuita hata namba. Kwa nina la pili unaweza muita Shukuru, Bahati, Hope, Pendo, Baraka, nk

Mwanao wewe alafu watu wakupangie majina. Kwangu hata kama ni mama mkwe atanichukia sitaki kabisa ajipendekeze na majina yake yasiyo na kichwa wala miguu. Anayetaka jina azae mwanae ampe ila sio wanangu, usikubali kabisa kizembe zembe tena yale majina kama Sikujua, Tabu, Shida, Cheusi (labda cheupe), sijui Chaupele nk usiyakubali kabisa
Haha yasiyo na kichwa Wala mguu
Sasa unafanyaje na ndo umeolewa hivyo na ndo Kwanza ndoa ni mbichi ?
Hayo siyo majina ya kumpa mtoto
Wanawake tumeumbiwa uvumilivu na utii kwa wanaume .
 
Ndio bora umpe majina mazuri kama Waridi, Tumaini nk
Ukimwita mwanao chaupele anaweza kuwa na ukurutu sugu ambao hauishi
Napenda sana pale mwanamke anapokuwa na staha ya uvumilivu na utulivu
Kuna wanawake wako resi sana, kumpata yule mwenye utulivu wa akili ni mmoja mmoja sana tena kwa dunia ya sasa haifai kabisa
 
Sure, why not?!

Sydney, Cologne, Sucre, Vitoria, Medellin, Walvis, Blantyre, Naivasha, Mendoza, Mar del Plata, Concepcion, Ica, Bursa, Idlib, Melbourne, Brisbane, Astana, Seoul, Seville.
 
Ndio bora umpe majina mazuri kama Waridi, Tumaini nk
Ukimwita mwanao chaupele anaweza kuwa na ukurutu sugu ambao hauishi
Napenda sana pale mwanamke anapokuwa na staha ya uvumilivu na utulivu
Kuna wanawake wako resi sana, kumpata yule mwenye utulivu wa akili ni mmoja mmoja sana tena kwa dunia ya sasa haifai kabisa
Oh yes hayo ni majina mazuri
Je una amini kuwa jina linaweza kumjenga mtu awe na tabia flani ?
 
Why not? Kwetu hadi majina ya wanyama tunaita itakuwa hili?
Recently many people in the world have been inspired to name their children after famous (some not so famous) places. Would you consider naming your children after a country, city, town, district or a village??

Out there in the world, I like the name Paris for a girl and London for a boy. In Africa, I think Liberia would be an excellent name for a girl while Ghana would be excellent for a boy.

In Tanzania, I like the name Tabora while Kigoma would make a good name for a boy. However most of the places in Tanzania qualifies better for naming girls, check it out: Dar es Salaam, Mwanza, Dodoma, Morogoro, Kahama, Shinyanga, Tabora, Pemba, Unguja, Sumbawanga, Rukwa, Kasulu, Songea, Ruvuma, Moshi, Kilimanjaro, Musoma, Mara, Iringa, Singida, Njombe, Bukoba, Kagera, Kibaha, Pwani, Mtwara, Mpanda, Katavi, Tunduma, Mbeya, Makambako, Njombe, Babati, Manyara, Handeni, Tanga, Lindi, Mafinga or Arusha.

What names would you like for your kids?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Oh yes hayo ni majina mazuri
Je una amini kuwa jina linaweza kumjenga mtu awe na tabia flani ?

Naamini hivyo kabisa kwa kweli ukiona mtu anaitwa Shida au Tabu hata maisha yao huwa ya yana changamoto sana. Mie sipendelei kuona hayo majina

Pili hata jina unalompa mwanao liwe la kizungu au kiswahili hakikisha unajua maana ya hilo jina. Hakuna jina lisilo na maana majina yote yana maana na unatakiwa ujue maana yake

Tatu jina la kurithi liwe mwiko, hata kama ni la baba yako, au mama yako kwa kweli kurithi majina Africa kunakuwa na madhara makubwa sana. Tena hususani nyakati hizi bado watu wamefungwa fungwa na maroho machafu, unakuta watoto wanarithi vyote hivyo
 
Why not? Kwetu hadi majina ya wanyama tunaita itakuwa hili?

Sent using Jamii Forums mobile app

Haki ya nani wewe ni mmakonde ukubali ukatae utakua ni mmakonde tu. Hao wana sifa za kuaita watoto majina ya wanyama mfano Tembo, Njiwaga, Kasuku, Bufalo nk

Au utakuwa wa songea Mbawala (wandendeule), Ndetere sijui hao nao wana majina yao ya wanyama
 
Mind you...most of these biggest cities names are named after people..

It is a two way traffic thing...

Think bt Eswatin...Mozambique....Mauritius...

I would consider the name Mauritius for a girl and Mozambique for a boy
 
Naamini hivyo kabisa kwa kweli ukiona mtu anaitwa Shida au Tabu hata maisha yao huwa ya yana changamoto sana. Mie sipendelei kuona hayo majina

Pili hata jina unalompa mwanao liwe la kizungu au kiswahili hakikisha unajua maana ya hilo jina. Hakuna jina lisilo na maana majina yote yana maana na unatakiwa ujue maana yake

Tatu jina la kurithi liwe mwiko, hata kama ni la baba yako, au mama yako kwa kweli kurithi majina Africa kunakuwa na madhara makubwa sana. Tena hususani nyakati hizi bado watu wamefungwa fungwa na maroho machafu, unakuta watoto wanarithi vyote hivyo
👏👏
Well said
 
Back
Top Bottom