Would you consider naming your kids after a place?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Haki nimecheka hadi machozi,, hivi bangi utaacha lini lakini jamani..
Weeeeh!! Hebu subiri kwanza kumbe mnaongelea majina!!!!
Mie nilijibu tu "no" baada ya kuona kuna alama ya maswali na majibu ninayojua ni yes na no pekee.

Sasa hivi vingreza vingi haujanisomesha jamani.

Karma
 
Nop
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haki ya nani wewe ni mmakonde ukubali ukatae utakua ni mmakonde tu. Hao wana sifa za kuaita watoto majina ya wanyama mfano Tembo, Njiwaga, Kasuku, Bufalo nk

Au utakuwa wa songea Mbawala (wandendeule), Ndetere sijui hao nao wana majina yao ya wanyama
Mzee ni wangoni sio wamakonde
 
I find it weird naming a child over a thing

Kama Kimberly Kardashian alivyofanya kwa watoto wake north,Saint ,Chicago na Psalm .
[emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah times are changing. Watu tuache ku practice traditional conservatism which is transcendent in manner kwamba tufate taratibu fulani through all times.

People should change with time sio ku name tu watu kwa majina yale yale.
 
Uwe unakuwa karibu jamani kunisaidia aibu ndogo kama hizi zisinipate.
 
Aisee nimecheka sana kwa kweli?

Swali unaweza muita mwanao majina haya: Pemba, Unguja, Chakechake, Same, Hedaru, Kibiti, Mbagala, Buza?

Au kuna majina ungeyapendelea ambayo ni ya mkoa, jiji au nchi?
Oooh!!

Mwanangu Karma nataka nimuite Mabwepande.
 
Yeah times are changing. Watu tuache ku practice traditional conservatism which is transcendent in manner kwamba tufate taratibu fulani through all times.

People should change with time sio ku name tu watu kwa majina yale yale.
Well said
 
Umenikumbusha Berlin na Naiirobi, two of my favorite actors kwenye netflix series ya Money Heist.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…