Kama mzazi wako akikwambia usioe au usiolewe na mvuta bangi ...is he/she discriminating?
Asiyea amini kuwa kuna amri jeshi mkuu ,kuna utaratibu wakufuatwa ktk life battle ,,,,,, hana guarantee huyu mtu...
"mlikuwa" una maana ya kina nani?
Hello Kiranga ....in red are my response as per your questions:
Kanuni "zilizothibitishwa" kuwa bora ni zipi? bora zaidi ya nini? bora zaidi ya zipi?
Usiue,usizini,usiseme uongo,.......................
Je ww unazionaje ?
Bora zaidi ya zipi ? zaidi ya opposite ya hizi
Nani ana clean conscience kati ya, kwa upande mmoja, believer kasisi wa Roman Catholic au Maalim wa madrasa anayeviharibu vitoto vidogo na atheist ambaye anafuata kanuni za secular humanism ambaye sio tu hawezi kufanya ushenzi kama huo, bali pia hata nyama hali kwa sababu anaona kula kiumbe chenye damu kama wewe ni unyama?
Labda hapa tunatofautiana ...naona wewe unaongelea vegetarian wanao kula nyama.Sizungumzii wanao zisingia na kuzijua ...nazungumzia wanao zinjua na kuzishika "washika imani"
Mara nyingi ktk maongezi mkipishana kutafsiri key words mnaweza msielewane hata kama bottom line mnamaanisha kitu kimoja .Paul anasema imani bila matendo imekufa....so if you are not walk the talk .....simple your non-believer
Talking about priest...waliokalia kitu cha Musa ..wana amini kama kuna Mungu lakini matendo yao yamejaa uchafu na aina yote ya unyanganyi ...wanao safisha kikombe nje na kuacha uchafu ndani,wanaopenda kutukuzwa na kuitwa baba mtakatifu,rabi n.k...SI WASHIKA IMANI...
Anyway mwazisha thread ana maana yake and more likely tofauti na yangu so siwezi tetea what its mean in others dictionaries
Unaongelea kuhusu "inner sense of what is right or wrong in one's conduct or motives", kuna watu wana inner senses zao zinawaambia wanawake ni watu wa kupigwa, kukabwa na kubakwa tu, kwamba hata wao (wanawake) wanafurahia hayo. Ukimkuta mtu inner sense yake ya right or wrong iko hivyo, utasemaje?
Dhamila inajengwa na kuzoezwa kwa mafundisho na makuzi .......kuna dhamila zilizo kufa na dhamila hai....(you just need to know as prerequisites to qualify for this discussion
Atheists
Imani/dini haina monopoly ya ethics.
Kuna wasio dini wenye ethics kubwa kuliko wenye dini.
Kwa maana hiyo, kuna wenye dini wenye ethics ndogo kuliko wasio dini.
Kufikiri kwamba dini ndiyo ina monopoly ya ethics ni kukosa upeo,
Unarithishaje watoto dini yako/imani yako?Si kila mwenye dini ni mtu mzuri
na si kila asiye na dini ina maana ni mtu mbaya.
Ndo maana mie sioni changamoto katika kuishi naye bali kulea watoto, tunawarithisha nini.
Na asiyeamini atakubali niwarithishe hichi nachoamini? Na nitaweza kukifanya peke yangu maana kulea na kurithisha ni jitihada za wazazi wote wawili.
Na nitaweza kuwapa kwa umuhimu naohitaji wauone?
Unarithishaje watoto dini yako/imani yako?
kwenda nao huko nakoamini, kuwashirikisha kwenye ninayoamini kwa matendo kama sala.
Kuwaeleza umuhimu wa nianchoamini kwa matendo na shuhuda.
Hujaishi kwenye jamii ya wachawi??
Hujui wanavyorithishana??
Imani inarithishwa asilimia kubwa, wachache wanaoitafuta ukubwani.
Swali dogo, unaamini tofauti na imani ya wazazi wako kwa sasa?
Au ni kwa nini tunajikuta tuko kwenye imani tulizonazo kwa sasa kama si kupitia wazazi wetu?
Si kila mwenye dini ni mtu mzuri
na si kila asiye na dini ina maana ni mtu mbaya.
Ndo maana mie sioni changamoto katika kuishi naye bali kulea watoto, tunawarithisha nini.
Na asiyeamini atakubali niwarithishe hichi nachoamini? Na nitaweza kukifanya peke yangu maana kulea na kurithisha ni jitihada za wazazi wote wawili.
Na nitaweza kuwapa kwa umuhimu naohitaji wauone?
He/ She is such a good person but does not believe in God....
someone without a religion...Would you marry him or her?
Tatizo letu wengi hata "secular humanism" ni msamiati, sasa kuelewa idea nzima inakuwa mgogoro.
Hapo sioni tatizo kabisa mmoja ni believer mwingine ni non believer, hivyo mwache watoto watafundishwa kuamini (nothing wrong with faith) sababu asiyeamini hana cha kuwafundisha..
Watoto wakikua wenyewe watachagua njia kutokana na watakavyoona au kuguswa