Hello Kiranga ....in red are my response as per your questions:
Kanuni "zilizothibitishwa" kuwa bora ni zipi? bora zaidi ya nini? bora zaidi ya zipi?
Usiue,usizini,usiseme uongo,.......................
Je ww unazionaje ?
Bora zaidi ya zipi ? zaidi ya opposite ya hizi
Nani ana clean conscience kati ya, kwa upande mmoja, believer kasisi wa Roman Catholic au Maalim wa madrasa anayeviharibu vitoto vidogo na atheist ambaye anafuata kanuni za secular humanism ambaye sio tu hawezi kufanya ushenzi kama huo, bali pia hata nyama hali kwa sababu anaona kula kiumbe chenye damu kama wewe ni unyama?
Labda hapa tunatofautiana ...naona wewe unaongelea vegetarian wanao kula nyama.Sizungumzii wanao zisingia na kuzijua ...nazungumzia wanao zinjua na kuzishika "washika imani"
Mara nyingi ktk maongezi mkipishana kutafsiri key words mnaweza msielewane hata kama bottom line mnamaanisha kitu kimoja .Paul anasema imani bila matendo imekufa....so if you are not walk the talk .....simple your non-believer
Talking about priest...waliokalia kitu cha Musa ..wana amini kama kuna Mungu lakini matendo yao yamejaa uchafu na aina yote ya unyanganyi ...wanao safisha kikombe nje na kuacha uchafu ndani,wanaopenda kutukuzwa na kuitwa baba mtakatifu,rabi n.k...SI WASHIKA IMANI...
Anyway mwazisha thread ana maana yake and more likely tofauti na yangu so siwezi tetea what its mean in others dictionaries
Unaongelea kuhusu "inner sense of what is right or wrong in one's conduct or motives", kuna watu wana inner senses zao zinawaambia wanawake ni watu wa kupigwa, kukabwa na kubakwa tu, kwamba hata wao (wanawake) wanafurahia hayo. Ukimkuta mtu inner sense yake ya right or wrong iko hivyo, utasemaje?
Dhamila inajengwa na kuzoezwa kwa mafundisho na makuzi .......kuna dhamila zilizo kufa na dhamila hai....(you just need to know as prerequisites to qualify for this discussion